Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hatimaye ule ubishani umefikia tamati. Siwashabikii City ila ni ukweli usio na shaka kuwa City ndio timu bora zaidi duniani kwa sasa ( kwa maoni yangu)
Well said shabiki wa man city kizazi cha sasa hapa bongo ni watoto waliopo under 14 ila 20's to 100's hapa bongo huwezi mkuta ni die hard fan wa city.
Tumetepeta sana leo los blancos
 
Heko Madristas

It’s over tujipange next season. Nafikiri bench letu sidhani kama litabaki hivi hivi. Tulikua na mentality ya kuogopa game so we deserve kupoteza

Kutesa kwa zamu kama wao tulivyowatesa msimu ulioisha ni vile pia wametutesa sie. Kikubwa tuko hai na salama[emoji23]

Tukutane kumaliza laliga
Laliga nako bingwa wetu barcelona kashachukua dah😢
Sema Madrid hatupo levo ya mancity kabisa mazee..Mancity ni litimu limoja linatisha sana
 
Binafsi sio fan wa City kabisa,ukifatilia kwenye majukwaa ya timu za EPL humu utaona tu,mimi ni shabiki nliyechagua kufa na stress za NYUMBU[emoji23][emoji23][emoji23] (MANYUA)
Well said shabiki wa man city kizazi cha sasa hapa bongo ni watoto waliopo under 14 ila 20's to 100's hapa bongo huwezi mkuta ni die hard fan wa city.
Tumetepeta sana leo los blancos
 
Mbeleko zilikua nyng sana zinawaangukia nyie tu.. Leo city kasema kataa matapeli[emoji23][emoji23]
IMG-20230518-WA0008.jpg
 
Laliga nako bingwa wetu barcelona kashachukua dah[emoji22]
Sema Madrid hatupo levo ya mancity kabisa mazee..Mancity ni litimu limoja linatisha sana
Inter Milan watawatoa tu, Madrid ilikuwa bovu tofauti na mwaka Jana! Pia ni hao hao tu toka 2014, hawanunui wachezaji wapya
 
Madrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu [emoji23][emoji23]
Hii timu huenda ni mashabiki wa arsenal ambao wanatafuta pa kuonjea ladha ya uefa ndio wakaamua kuja kujificha humu.
 
Unawasikia eti wanajitapa wenyewe mashabiki wa La Liga. Humu wote wana timu zao za EPL ila ni glory hunters tu wanaoshabikia Madrid sababu inafanya vizuri UEFA tu.

Bongo hakuna mashabiki wa La Liga ukitaka kuamini hakuna kibanda umiza TZ kinachoonesha mechi za La Liga tofauti na El classico
Mashabiki wa arsenal hawa, wametafuta pa kupozea ukame wa kucheza uefa ndio wanakuja humu kujiita mashabiki wa madrid kwa ID zingine.
 
Back
Top Bottom