Na eneo la kiungo,goli mbili za kwanza zimetokea kwa kroos,kroos alikuwa na Benardo,akamuacha hata kumzuia asipige hakufanya hivyo,akamuacha akapokea mpira akafunga,la pili kwa modric kasimama bernado anatoka anaenda kucheza mpira tunafungwa.
Ni maswala ya umri nakwa sababu wameshinda kila kitu,ile mizuka haipo tena.
Cha pili ushambuliaji,Benzema kwa muda sasa hayupo kwenye ubora hata wa 80%,mpira haukai mguuni,ile control hana na hata namna yakurespond kwa wenzake akiwa na mpira kwa sasa ni low sana.
Eneo lingine ni beki za pembeni na kati,pembeni hatuna mbadala ndo maana tunamrudisha camavinga acheze kushoto ilihali kulia nako akiumia Carvajall basi hatuna mtu mwingine.
Game ya jana kupoteza ni matokeo ya Carlo kupanga kikosi kile kile na style ya uchezaji ule ule wakat mwenzako misimu kadhaa nyuma ukijumlisha na uliopita unakuwa unamtoa kila mara,na unaona anakusoma ilihali sisi hatubadiliki,huwez kumtegemea Benzema au Kutegemea mipira ya vichwa/cross ilihali City alienda sokoni kununua wachezaji wa nyuma warefu,ilitakiwa pale after first leg tujifunze kuwa ile style imefail tuje na mpango mpya wakutawala eneo la kati.
However,hatuumii kufungwa na City ila tunaumia kupoteza ubingwa wetu huu wa UCL katika hatua hii ya nusu fainali na ikumbukwe hili kombe ni haki yetu nani letu na pia ndio historia yetu na ubora wetu, na ndio maana ni club bora duniani kwa karne tatu kama siyo nne mfululizo na ndio maana huwa tunalibeba back to back as much as we can.
Halla madrid.
Sent from my SM-A336E using
JamiiForums mobile app