Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

[emoji469]
20220529_093421.jpg
 
Hiyo ya Mbabe ni clear offside. Hilo kosa la kimaamuzi lililofanyika hapo haliwezi kuhalalisha scenario inayofanana na hiyo kuamuliwa kama ilivyotokea hapo.
Sio offisde na ishaelezewa mara kibao, Nakumbuka hata Sisi Man U Tushawafunga Leeds Goli la Vile kwa Kichwa cha Radebe, Juzi juzi hapa Lovren Kachoma same Move,

 
[emoji3577] Usiku ulikuwa mnono kabisaa baada ya ushindi mnono
Kama wewe Ni mwanamke Basi jaana utakuwa umebomolewa vya kutosha,😂😂 ilaa Kama wewe Ni men Basi itakuwa umepiga show ya maana 😂😂
Au nasema uwongo ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom