Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,753
- 6,488
Big up sana Mkuu Pagan., ninakumbuka wakati tunamtoa PSG ulisema kuwa tunaenda mpka final na ndoo tunabeba,, Hatimaye yametia man.,
Ingekua ni rahisi hivyo wasingekaa muda wote ule kureview. Kifupi wao pia hawakuwa na Jibu wakaipa tu benefit of doubt waka cancel. Naweza kupa Mechi kibao Scenario kama Ile imetokea na Goli lime count, Juzi tu Hapa Spain na Ufaransa Garcia alifanya Tackling akagusa Mpira alicancel offside na Mbape akafungaWalioona kwamba ni offside walijiridhisha vyema zaidi yako! …hili tukio lilivyotokea mpira ulisimama zaidi ya dakika moja ili waamuzi kujiridhisha kuwa ni offside! Wewe angalia tu hiyo pass iliyokwenda kwa Benzema kwenda kwa Konate ilitoka katika mazingira gani! Je Konate alikusudia kuucheza ule mpira kwenda kwa Benzema?
Hanaga baya Mzee Wa watuCarlo Ancellot
Timu za Spain ni bora kuliko za England Mkuu.Natamani Sana Madrid amchape Liverpool lakin daaa sioni Madrid akimfunga kabisa [emoji28]
Ingekua ni rahisi hivyo wasingekaa muda wote ule kureview. Kifupi wao pia hawakuwa na Jibu wakaipa tu benefit of doubt waka cancel. Naweza kupa Mechi kibao Scenario kama Ile imetokea na Goli lime count, Juzi tu Hapa Spain na Ufaransa Garcia alifanya Tackling akagusa Mpira alicancel offside na Mbape akafunga
Video hii