Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 722
- 768







kuku tayari kawekwa kwa maji moto twangojea dakika za kunyonyolewa zitimie.






kuku tayari kawekwa kwa maji moto twangojea dakika za kunyonyolewa zitimie.












Technology mkuu ni kubwa sababu tumeangalia haimaanishi eti hatuwezi kuirudia
Video hii hapa
![]()
Streamff - bf25f7
With Streamff service you can share your video in two clicks, as easy as it sounds.streamff.com
Mpira umetoka kwa Konate, ukaenda kwa Fabinho ukaenda kwa Benzema, Tueleweshe offside ipo wapi
Mtaongea yote 😀😀Dah...hapa sasa tunataka nafasi gan zingine jamaniiiiiiiii![]()








Sub ilipaswa afanyiwe Mane mapema sana,amecheza mpira hovyo,kujiangusha,na kupoteza pasi mara kwa mara.Wameanza sub zao za bila macho kumtoa Luis Diaz ni janga jingine kwao
Kwa kweli…We saved the world against noise pollution...![]()