Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Final training session before Paris trip
Acha ufaller Liverpool ndio bingwaAll the best
Hala Madrid

Mimi nawambia tu sio kwamba mna timu nzuri Sana ,ila kichapo mtakachokutana nacho Leo mtajuta kuingia uwanjani![]()
MADRID. ATASHINDAModric aliwai nukuu “ tukifanikiwa kuwatoa psg tutakwenda mbele na tutafika fainali na kombe tutachukua” hii ilikua baada ya mechi ya kwanza.
Nimependa utulivu wa timu, timu imekaa na kutambua nini wataenda kufanya. Na amini tukicheza vizuri tukaweza ku covert chance tunaweza maliza game first half.
Kitu ambacho kitanivutia zaidi game hii ni high line defence ya liverpool na wing yangu vin watakavyo pambana. Huku beki zangu zenye makosa na Liverpool wenye mane, salah na diaz hahahah. Liverpool ni wazuri kwenye kupiga krosi na mipira ya kona sijui kama tumefanyia zoezi ilo.
All the best kwa madrid. Sina nacho wadai even lose kwangu ni ushindi maana tulianza msimu kwa kusuasua. Siku zote tutabaki kua bora
Nothing more,Go Madrid.
Hata sisi tulisema hivyo miaka 2017 Na 2018Mkuu kati ya kombe na hela kipi kina faida kwa mbappe now. Maana ambalo hana ni hilo la Uefa Cl ana kombe la dunia tayari. Ana makombe ya ligi za ndani zaidi ya kadhaa nk naona yupo sahihi kwa maana km ni CHAMPIONS LEAGUE mwakani madrid hawa bebi maisha. Na ndio kwio. Bora abake zake PSG au angekuja timu za England km Chelsea, Liverpool au hata Man City au Man utd fresh tu.
Wala usiwatishe hawa madrid leo wana jibebea kombe lao kama kawaida. Sijaona timu ya kumzuia madrid kwenye hii fainali.
Madrid mnashinda. Kombe lenuModric aliwai nukuu “ tukifanikiwa kuwatoa psg tutakwenda mbele na tutafika fainali na kombe tutachukua” hii ilikua baada ya mechi ya kwanza.
Nimependa utulivu wa timu, timu imekaa na kutambua nini wataenda kufanya. Na amini tukicheza vizuri tukaweza ku covert chance tunaweza maliza game first half.
Kitu ambacho kitanivutia zaidi game hii ni high line defence ya liverpool na wing yangu vin watakavyo pambana. Huku beki zangu zenye makosa na Liverpool wenye mane, salah na diaz hahahah. Liverpool ni wazuri kwenye kupiga krosi na mipira ya kona sijui kama tumefanyia zoezi ilo.
All the best kwa madrid. Sina nacho wadai even lose kwangu ni ushindi maana tulianza msimu kwa kusuasua. Siku zote tutabaki kua bora
Nothing more,Go Madrid