Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 991
- 1,284
Na hamtaki hata kujaribu kupiga mashuti... Sijui mnaogopa nini!!
Goli litokee wapi?chezeni mpira timu kongwe ila mna mpira wa kuvizia vizia tu.Hivi imekuwaje lile sio goli?
Hata Mimi sijaelewa kwa kweli, nimeona kama wamesema ni offside, ila sioni offside ilikuwa kwenye nini, Mpira wa kwanza ama wa pili!?Hivi imekuwaje lile sio goli?
Hujanijibu mkuu,Goli litokee wapi?chezeni mpira timu longer ila mnavizia vizia tu.
Bahati haipo kwenu safari hii
Chezeni mpira mnavizia vizia tu, liverpool sio wa kutupakia basiHadi sasa hv hatujapiga on target hata moja...kimsingi hatujaonyesha nini tunacho hadi sasa
Mwenyewe nashangaa mpira kagusa Konate, pasi kwenda kwa Benzema ni goti la Fabinho hakuna Offside, wametupigia mistari as if pasi Imetoka kwa Velverde.Hivi imekuwaje lile sio goli?
Labda sheria mpya ya offside japo Sina uhakikaHata Mimi sijaelewa kwa kweli, nimeona kama wamesema ni offside, ila sioni offside ilikuwa kwenye nini, Mpira wa kwanza ama wa pili!?
WATAALAM ULAYA WAPO UWANJANI WAMEONA SIO GOLI WEWE HUKU UNAANGALIA KWENYE TV HUELEWI TU 😆😆😆😆Hujanijibu mkuu,
😆😆😆ubingwa tunasubiri tu sisiLiverpool Fans tutambuane mapema tafadhali sana wakurugenzi [emoji847]
Ila mpira wa mwisho ameugusa Fabinho., hapo ndipo waliponiacha kwa kweli.,Labda sheria mpya ya offside japo Sina uhakika