Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,573
- 3,804
We jamaa bangi kweli, umekimbia uzi wako wa Chelsea unakuja kujipitisha na kanga moko kwenye uzi wa wanaume [emoji23][emoji23]Kama wewe Ni mwanamke Basi jaana utakuwa umebomolewa vya kutosha,[emoji23][emoji23] ilaa Kama wewe Ni men Basi itakuwa umepiga show ya maana [emoji23][emoji23]
Au nasema uwongo ndugu yangu?