msebia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 475
- 361
GK akitoka golini beki/ mchezaji wake aliyepo karibu na goli hutazamwa na Sheria kama GK ndio maana unaona ukitokea kwenye mstari wa goli wakwanza mchezaji wa liva then benzema hivyo alikuwa offside benzema lakini swali ni kwamba kama fede aliuwini mpira basi wachezaji wa liva walimchezea faulo then why haijawa penati[emoji1787]Labda sheria mpya ya offside japo Sina uhakika