Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,710
Pamoja na ushindi ila kipindi Cha pili hakikuwa convincing kwa upande wa Madrid, mpaka guler alipoingia
Kimsingi huyu mtoto anatakiwa aanzie benchi.Vinicius kafanya mechi kua ngumu harafu katulia benchi analaumu wenzie.
Kuna dalili zozote za Real Madrid kupambania point 3 leo mbali na ubingwa wa La Liga 2026/2027?Maninaaa...wamesawazisha..🤬🤬🤬
Ndo unaangalia marudio sio
Ndo unaangalia marudio sio
Mkuu habari, karibu tena kwenye uzi wetu pendwa, imekuwa kitambo sana MzeeHALA MADRID
Mkuu habari, karibu tena kwenye uzi wetu pendwa, imekuwa kitambo sana Mzee