Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,301
- 2,126
Rodrygo anastahili kabisa kuingia kikosi cha kwanza msimu ujao. Kroos amekuwa average msimu huu.
Njoo tuongee kiume sasa, mtu mwenye akili timamu hawezi kuidharau Madrid katika soka la ulaya. Shida ni kwamba huto tupass ambato huea mnapiga pale EPL ndo tunawapa kiburi ila nyinyi ni team ya kawaida sana zinapokuja knockout games.Mimi siwezi poteza muda kubishana na timu kama Madrid ilishajifia wanajificha kwenye kivuli cha historiahizo historia haziwezi kuwasaidia kufunga Goli .....!
Mshapitwa na wakati nyie ...
Mimi nikipitiwa na usingizi, nilikuwa naufuatilia mtanange kwenye simu, saa 10 usiku nikashtuliwa ghafla na Junior(kama kawaida ya Majunior kuamka usiku), baada ya kumuweka sawa. Nikarush kucheki matokeo nikabaki mdomo wazi tena baada ya kuona goli la kwanza la Madrid limetungwa dk ya 90+2, halafu meza imepinduka.Kwa mara ya kwanza jana nilimuona Pep amechanganyikiwa, labda kweli hii laana ipo kwa namna City ilivyotolewa.


haamini macho yake. Tena ukizingatia City walirudi nyuma wote muda huo kama ilivyokuwa kwa Atletico pindi wanacheza na City.Hawa watu wa kuachana nao mkuu.. Mdomo na ujuaji mwingi wakati hawana lolote.Njoo tuongee kiume sasa, mtu mwenye akili timamu hawezi kuidharau Madrid katika soka la ulaya. Shida ni kwamba huto tupass ambato huea mnapiga pale EPL ndo tunawapa kiburi ila nyinyi ni team ya kawaida sana zinapokuja knockout games.
Team iliyoruhusu goli tatu home inakuwaje strong?
Ukikuta shabiki wa Man City huko bongo wengi wanakuwa ni vijana wadogowadogo(walioikita Man City katika ubora). Ni ngumu sana kumkuta shabiki wa Man City aliyekomaa kiakili huku Africa.Hawa watu wa kuachana nao mkuu.. Mdomo na ujuaji mwingi wakati hawana lolote.
Hii ya hovyo wasiifuate. Kwa mechi za uefa kufunga goli sio kitu rahisi.Hata kama hiyo sheria ingakuwepo Madrid alikuwa na goli 3 za away mkononi ndani ya dk 90, huku City akiwa na goli 1 la away.
Hii sheria ya Away goal wamefanya vizuri kuitoa, sasa imebaki sheria ya Aggregate ambayo natamani itolewe pia, mshindi apatikane kwa namna hii.
-Ukishinda mechi zote(H na A), umeshinda bila kujali wingi wa magoli.
-Ukishinda H/A ukadroo A/H, umeshinda
-Ukishinda H/A, ukashindwa A/H, muende Extra time, matokeo yakibaki vile vile, penati ziamue
Once again I spot dom Carlo with emoji face.Ancelotti hit them withand they scored 2 in 2 minutes..
Football is crazy
#UCLView attachment 2211977
Na Chelsea pia.. Angalia comments za shabiki wa hizi timu mbili.. Za kitoto sana.Ukikuta shabiki wa Man City huko bongo wengi wanakuwa ni vijana wadogowadogo(walioikita Man City katika ubora). Ni ngumu sana kumkuta shabiki wa Man City aliyekomaa kiakili huku Africa.
Ancelotti ni upgrade ya Zidane hilo halina ubishi ila hayupo daraja moja na Klopp, Guardiola, Flick, Tuchel or Nagelsmann.
Jomba Carlo amefundisha mpira muda mrefu tofauti na hao makocha niliowataja na kipindi hiko alikuwa miongoni mwa makocha bora sambamba na Ferguson na Mourinho, kwa sasa Klopp au Tuchel wapo juu ya Ancelloti, hata Nagelsmann na Ten Hag wana mpira unaovutia zaidi kuangalia kuliko huu anaofundisha Ancelotti.
Kingine labda tunatofautiana vigezo tunapowaangalia makocha, mimi naangalia style of play, results, tactics and development of young players(ziada). Hadi sasa sielewi our style of play, mechi nyingi tunashinda lakini roho mkononi ukitoa jana(tulicheza vizuri).
Kwa miaka ya karibuni ni Mourinho pekee aliekuja na style of play kabla ya kuzingua mwaka wa mwisho lakini miaka yake 2 ya mwanzo tuliisumbua Barca iliyotuonea muda mrefu hadi ubingwa tukabeba. Kipindi kile unaenda kuangalia mpira unajua kabisa sisi kwenye counter tupo vizuri, direct football and quick passes kwenda golini muda wote tunaokuwa na mpira na ndio kipindi madrid ilifunga magoli 121 ya ligi na 174 ya mashindano yote(2011_2012).
Zidane sikuwahi kumuelewa, huyu jamaa huwa namuona ni kocha mwenye bahati pengine kuliko makocha wote niliowahi kuwaona.
Hii timu Ancellotti alipewa kimakosa, tunaenda kimungumungu sana.
Dogo katuokoa kwenye mawimbi mazito mara mbiliView attachment 2212355
Mr Champions #Rodrygo