Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,891
Kumbe umejificha hukuGame bado mapema sana ..tutapindua meza hao hapo bernabeu ..uwezo huo tunao, sisi ndio Chelsea.
#CFC![]()


Kumbe umejificha hukuGame bado mapema sana ..tutapindua meza hao hapo bernabeu ..uwezo huo tunao, sisi ndio Chelsea.
#CFC![]()


Congratulations to usila huu utaratibu wa kurudi golini kuweka kijiwe sio poa aisee. Tulipaswa kutoka na clean sheet ya kibabe kqbisa
![]()
Una roho ngumu sanaGame bado mapema sana ..tutapindua meza hao hapo bernabeu ..uwezo huo tunao, sisi ndio Chelsea.
#CFC![]()
Kikubwa ushindi basiCongratulations to usila huu utaratibu wa kurudi golini kuweka kijiwe sio poa aisee. Tulipaswa kutoka na clean sheet ya kibabe kqbisa
![]()
Mkuu hii meza tunapindua mapema sana asubuhi. Tunajua mutaingia Ili kuzuia maana tayari munaongoza na hapo ndipo mutapoteana, game bado kabisa hii..Una roho ngumu sana
Mimi Niko na maumivu ya kutosha hapa wewe acha TU, kufungwa na hii takataka timu mbovu ni aibu sana kwetu, ngoja tutawaonesha kuwa sisi ni Chelsea 💙💙💙Kumbe umejificha huku![]()
Hivi unadhani kwamba game imeshaisha?? Hii Ngoma bado ni mbichi kabisa Yani, Hawa takataka tunawapiga hapo hapo kwao, shika benzema basi ..timu mzima inappteanaMsije kusingizia vita vya Ukraine mtakapo shindwa kupindua
Yani tenaa wewe liverkuku tukishamtoa huyu takataka Madirid basi tunaomba kukutana na wewe tukufundishe adabu ..subiri utaona ..sisi ndio Chelsea bwana alaah...💙💙💙mfungwe na brentford tatu nunge alafu umfunge Madrid?
Chelshit ya kupigwa na RMadrid ndo utufunge sisi?Yani tenaa wewe liverkuku tukishamtoa huyu takataka Madirid basi tunaomba kukutana na wewe tukufundishe adabu ..subiri utaona ..sisi ndio Chelsea bwana alaah...![]()



Meza ya wapi?Naenda kuloga nawaambia, hii game tunapindua meza.
#CFC![]()







Mbichi wakati mshapigwa🤣Hivi unadhani kwamba game imeshaisha?? Hii Ngoma bado ni mbichi kabisa Yani, Hawa takataka tunawapiga hapo hapo kwao, shika benzema basi ..timu mzima inappteana
Sisi ndio Chelsea bwana alaah..💙💙💙
Yaani RMA ni ya kupaki bus kwa Chelsea? kua serious basiMkuu hii meza tunapindua mapema sana asubuhi. Tunajua mutaingia Ili kuzuia maana tayari munaongoza na hapo ndipo mutapoteana, game bado kabisa hii..
Amini kwamba sisi ni Chelsea![]()
Huyo hana hata sturi nyumbani kwake . mashabiki wa Chelsea wengi ni wavuta bangi . wanyoa viduku . wanakura gomba sana pale darajaniMeza ya wapi?
Labda uipindue yako hapo nyumbani kwako![]()
Jomba Carlo amefundisha mpira muda mrefu tofauti na hao makocha niliowataja na kipindi hiko alikuwa miongoni mwa makocha bora sambamba na Ferguson na Mourinho, kwa sasa Klopp au Tuchel wapo juu ya Ancelloti, hata Nagelsmann na Ten Hag wana mpira unaovutia zaidi kuangalia kuliko huu anaofundisha Ancelotti.Dude,mpe heshima yake Carlo Ancelotti kusema hayupo daraja moja na hao VIMEO uliowataja ambao kimafanikio hawamfikii ni kum-dharau sana mzee carletto na katika hao makocha uliowataja ambaye kimafanikio anaweza kwenda sambamba na Carlo ni Pep tu.
Unachosema ni kweli kinawezekana, lakini si rahisi kama unavyofikiria, timu kupata matokeo chanya uwanja wa ugenini ya kuiwezesha kufuzu hatua inayofuata kwenye michuano mikubwa kama hii ni tukio la kihistoria, karibu BERNABEUHivi unadhani kwamba game imeshaisha?? Hii Ngoma bado ni mbichi kabisa Yani, Hawa takataka tunawapiga hapo hapo kwao, shika benzema basi ..timu mzima inappteana
Sisi ndio Chelsea bwana alaah..![]()
Wewe unakumbuka nilikuambia msimu uliopita mlibahatisha kututoa na nyie hamtuwezi,ukamenyama hapa...sasa tulia uone vile unapigwa nje ndaniYani tenaa wewe liverkuku tukishamtoa huyu takataka Madirid basi tunaomba kukutana na wewe tukufundishe adabu ..subiri utaona ..sisi ndio Chelsea bwana alaah...![]()
Hivi unadhani kwamba game imeshaisha?? Hii Ngoma bado ni mbichi kabisa Yani, Hawa takataka tunawapiga hapo hapo kwao, shika benzema basi ..timu mzima inappteana
Sisi ndio Chelsea bwana alaah..💙💙💙