MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Hongereni Madrid.
Camavinga kiukweli tuliokota Dodo chini ya Mnazi, sio kwa kuupiga vile aisee, goli la kwanza na la tatu yana mchango wake mkubwa sana.,Vijana hawa hakika ni hatari sana. Huyo Camavinga dogo anajua mpaka basi
Nyie mkiambiwa wachumba wa man city mnabisha
Hiki kitoto kinuka mavi kimepotelea wap tena?
Hao vijana hakuna haja ya kuwajibu, mpira wenyewe wameanza kushabikia juzi sasa ukibishana nao unakuwa unapoteza muda wako bure.,, tunawafundisha kama hivi uwanjani.Hawa watoto me natandika block ili ni jukwaa la Madrid sio kubishana kama tuko vijiweni. Tunajadili yanayo husu madrid
Haya ondokeni humu tumemaliza kazi na nyieMimi siwezi poteza muda kubishana na timu kama Madrid ilishajifia wanajificha kwenye kivuli cha historiahizo historia haziwezi kuwasaidia kufunga Goli .....!
Mshapitwa na wakati nyie ...
Ww jamaa ni wa kupuuzwaMimi siwezi poteza muda kubishana na timu kama Madrid ilishajifia wanajificha kwenye kivuli cha historiahizo historia haziwezi kuwasaidia kufunga Goli .....!
Mshapitwa na wakati nyie ...
Lineup nilioipendekeza ndo Don Carlo alioiweka. Raha sana ukiijua timu yako nje ndani.Alaba anaweza ukosa mchezo wa kesho. Nacho mzee wa kuchomesha atacheza kama mbadala. Tunahitaji kucheza kwa kujilinda tukifanya mashambulizi ya kustukiza ya uhakika.
Tukiwa na casemiro kroos na modric huku valvelde akicheza kama mid field ya juu namba kumi kazi ya kiungo itakuwa imeisha.
Kisha baadae dogo camavinga aingie
Ancelotti hit them withpilau limeingia mchanga
and they scored 2 in 2 minutes.. 




.Nyie mkiambiwa wachumba wa man city mnabisha
To give up is not an option - Luka ModricIt hurts.
Hata kama hiyo sheria ingakuwepo Madrid alikuwa na goli 3 za away mkononi ndani ya dk 90, huku City akiwa na goli 1 la away.Hakunaga Away Goal rule UEFA.
Umefuta comment kwenye uzi wa City, Ulisema Madrid ni wachumba wa CityAisee





Ni Yaya Toure, hivi mkasa ulikuwaje?Kipara ana lahana ya kole tuore hataka abebe taji hili mbaguzi Sana huyu kiparaa hili taji ninkwa ajili ya Giants tu
Liverpoooy naenda kulizpiza kisas na madarada
@Goal233
Mpira mchezo wa kikatiliUmefuta comment kwenye uzi wa City, Ulisema Madrid ni wachumba wa City![]()
Kwa mara ya kwanza jana nilimuona Pep amechanganyikiwa, labda kweli hii laana ipo kwa namna City ilivyotolewa.Ni Yaya Toure, hivi mkasa ulikuwaje?
===============
Yaya Touré's agent in 2018: “Pep turned all Africa against himself. I’m sure that many African shamans in the future will not allow Guardiola to win the Champions League. This will be for Guardiola an African curse. Life will show whether I am right or not.”
@Goal233View attachment 2211996