josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 640
Nini hiki mkuu???Mpira wanaenda mpaka dakika hadi ya 102
Nini hiki mkuu???Mpira wanaenda mpaka dakika hadi ya 102
Kiaje?Nini hiki mkuu???
Huo ndio ukweli. Ana madhaifu sana kwenye defensive line. Midfielders ndio huwa wanambeba. Sema timu nyingi zinamuogopa sana.Kuna mdau mmoja kule kwenye Uzi wa liverkuku alisema Guadiola hawezagi kuzuia nimeamini sasa
Vijana hawa hakika ni hatari sana. Huyo Camavinga dogo anajua mpaka basiRodrygo as always., kwa ushirikiano mkubwa na Camavinga, ndio wametufikisha final., vijana wanajua kubadili Mpira bana.,
