Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,111
Ila za nyie santiago Bernabeu hatoki mtu za kikubwa?Argument za kitoto kabisa hizi.. Kwani kushinda mechi tatu kati ya 4 huko kipindi cha nyuma inazuia nini?
Hajawahi kutufunga Ethihad
Tumewahi mfunga Bernabeu na tunaenda kumfunga Tena sisi ni waume zake
