Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Dogo kwenye UCL amekuwa mkombozi wetu mara nyingi kiukweli., anajua kujitengenzea mazingira ya kufunga na kubwa zaidi anajua goli bana, amenyimwa mwili na nyama tu, ila hivyo vitakuja tu kwenye mazoezi.
Seems like Los Blanco's wana scouting team nzuri hasa kwa vipaji toka Brazil watoto wanaotoka huko hua wanakiwasha sana hapo Santiago Bernabeu
 
Mariano Diaz huyu hua sielewi kazi yake ni nini
Hahaha., Mariano man anaona ufahari kuwa mmoja wa wachezaji wa Real madrid, ninadhani ameridhika hivyo, msimu uliopita mashabiki walimshtumu kuwa anapokea mshahara wa bure, Agent wake akamtafutia team ila baadae jamaa akakataa kuondoka kisa mshahara wake utapungua, ila ninadhani msimu huu mwishoni ataondoka tu.
 
Pale utamlaumu tu bure, watu wawili walikua free asingeweza ku cover wote.. Vin alitakiwa kuwa pale kumsaidia. Angalia yale mazingira vizura.
System ya Ulinzi nzima ilipoteana, Nacho na mwenzie walipanda kwenda kukaba, bahati mbaya wote wakajikusanya upande mmoja wa kulia, tulibakiwa na eneo kubwa sana wazi upande wa kushoto, so ilikuwa ngumu sana Mendy kumark eneo kubwa vile.,

Halafu watu wanamlaumu Mendy ila wanasahau alifanya clearance kwenye mstari, lile goli lingeingia hata hiyo comeback tungeisikia tu.

Anajitahid kiasi chake sio mbaya sana, tatizo tulizoea uwezo wa Marcelo kwenda mbele, ule upande ulikuwa moto sana, shida ilikuwa ni lazima akipanda mtu arudi nyuma kujaza nafasi yake.,
 
Upo sahihi kabisa mkuu. Nadhani pia watu hua wanaongea kwa kuangalia highlights.. Ile goal line clearance kama sio yeye ngoma ilikua imeisha. Ile space ilikua kubwa mno na ni ndani ya 18.. Ukianza kukimbia hivyo uwahi kukaba mtu ni rahisi sana kusababisha penalty pia. Mendy pale alikua na watu wawili, mmoja yupo karibu zaidi na goal na mwenye mpira so aliamua kusimama na huyo, so angesema akimbie kumfata Mahirez bado angemwacha huyu mwingine na angefunga kirahisi tu.
 
Yale mazingira yalikuwa magumu sana kwake yeye kufanya marking kwa watu wawili, labda kama Nacho angewahi kurudi ingemsaidia yeye kwenda kumkaba Mahrez, uzuri wenzetu huwa wanafanya post match analysis, so watafanyia kazi hayo mapungufu.
Kwasasa acha tujiandae dhidi ya Atletico hiyo Jumapili
 
Upo sahihi kabisa mkuu. Nadhani pia watu hua wanaongea kwa kuangalia highlights.. Ile goal line clearance kama sio yeye ngoma ilikua imeisha. Ile space ilikua kubwa mno na ni ndani ya 18.. Ukianza kukimbia hivyo uwahi kukaba mtu ni rahisi sana kusababisha penalty pia. Mendy pale alikua na watu wawili, mmoja yupo karibu zaidi na goal na mwenye mpira so aliamua kusimama na huyo, so angesema akimbie kumfata Mahirez bado angemwacha huyu mwingine na angefunga kirahisi tu.
huwezi msemea mchezaji kwa kiangalia save moja tu ,Mendy amepewa muda wa kutosha kuweza kuprove uwezo wake lakini bado waonekana kuwa mdogo , dirisha la usajili madrid ina kazi ya kutafuta namba tatu nyingine Mendy HAMNA KITUU.
 
Alaba atahamia huo upande endapo club itakubaliana na Antonio Rudiger, ili yeye acheze pale kati na Militao, upande wa beki ya kulia ninaona bado Lucas Vazquez akibaki ili amsaidie Dani Carvajal.
 
Yas kama dili la Rudger likitiki itakua magoli sana
Kuna report niliona kuwa Agent wake aliwapigia Maofisa wa Real Madrid kuwa mteja wake anaomba kufanya nao mazungumzo tena, kwani ya mwanzo hayakufanikiwa kwasababu ya mshahara jamaa alikuwa anautaka., ila kwasasa ninasikia kuwa amepungua so kwa asilimia kubwa kuna uwezekano wa jamaa kutupia uzi mweupe msimu ujao.,
 
madrid haijawahi niangusha kwenye kumaliza deals
 
Tofauti na RUDIGER, CB gani mwingine anayeweza kutufaa
Sio kawaida yetu kununua wachezaji wenye umri mkubwa, hizi nafasi kama iliyotokea kwa Alaba na sasa Rudiger hatuwezi kuziacha kiukweli, ila kumbuka Militao ana miaka 23, na tegemeo la club ilikuwa ni kwa Vallejo kuwa performance yake ingeimarika, sema ninaona kama club hawana Imani naye, japokuwa kwa upande wangu game mbili alizopewa nafasi alicheza vizuri.
Kwasasa sioni club ikitafuta kijana, mpka hapo baadae,
Sehemu ambayo club imefanya recruitment ni upande wa beki ya kulia, juzi hapa tulimchukua dogo mmoja wa Brazil anaitwa Vinicius Tobias kwa mkopo kutokea Shakhtar Donetsk, so tutaangalia mpka mwezi wa Sita
 
Sawa, naamini F/PEREZ atafanyia kazi japo machaguo ni machache sana aisee, CBs wengi umri umekwenda mfano: K/KOULIBALY & MARQUINHOS, baadhi yao mikataba yao ni michanga: R/DIAS, na wengi hawana viwango hitajika vya kuchezea REAL
 
Back
Top Bottom