Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Watani, siku hizi mko tia maji tia maji sana. Hata mechi za kushinda bado mnashinda kwa taaaaabu. Mimi nakuja taratibu, sina mpango wa kushinda ligi. Ila ole wenu mnipe nafasi. Ole wenu!
Una L ngapi kwenye ligi? UEFA upo? X-MESSI FC
 
Hatuchukui makocha wa academy, akitoka Calo anakuja Massimilliano Allegri
Allegri nae sio mkali hivyo pia juzi tu hapa ametoka kusema aliikataa kazi ya Madrid huku akiwa ameshasign akaamua kwenda Juve kwahiyo huyu uwezekano wa kuja ni mdogo.

Hao makocha unaowaita wa Academy ndio wanaosumbua sasa hivi na ndio wenye mafanikio kwa kuwa wanakuja na vitu vipya.
 
Eric ni coach mzuri lakini kuna daraja anatakiwa kuvuka ndio aje Bernabeu ni ngumu straight from Ajax to Real Madrid
 
CHELSEA kwenye UEFA wamewahi kukutana na REAL MADRID mara moja tu - msimu uliopita, mguu wa kwanza matokeo yalikuwa droo ya 1 - 1, mguu wa pili mlishinda 2 - 0, kwa ujumla REAL wana rekodi nzuri dhidi ya CHELSEA, wana WIN 2 'CHAMPIONS CUP' na 'UEFA' wana DRAW 1, wakati CHELSEA wana WIN 1 tu na DRAW 1
Wewe ndio hujui kitu.
 
Ancelotti ni upgrade ya Zidane hilo halina ubishi ila hayupo daraja moja na Klopp, Guardiola, Flick, Tuchel or Nagelsmann.
Unapinga: mpira anaofundisha CARLO unaendana zaidi na falsafa ya REAL ukilinganisha na hao makocha uliowataja? hao uliowataja wanaweza kuwa ndo makocha bora kwa sasa ulimwenguni - na si in general, wasifu wa CARLO unajieleza, wana mengi ya kujifunza kwake
 
Back
Top Bottom