Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mechi moja tu alicheza vizuri na Liver basi hizi mechi mbili na chelsea alikuwa anazunguka tu kama Ali kiba alivyokuwa coast union
Kakutana na watu wanaokaba mpaka kivuli hawakupa space kabisa ndio maana umemuona useless
 
Kakutana na watu wanaokaba mpaka kivuli hawakupa space kabisa ndio maana umemuona useless
Watu wanakaba utasema wanatafuta contract yule Rudigger zile sifa sasa watu wanajuwa kukaba sio mchezo kama ile walker mechi ya city na PSG alikuwa anakimbia mpaka Neymar anaachia mpira kishindo cha jamaa utasema train ya umeme imeondoka kituoni. Kuna jamaa nilikuwa natizama naye game kamtukana Kante mpaka basi hizi sasa sifa huyu mtoto.
 
Ninaona unapata sana shida na mfumo, huo mfumo wa 4 3 3 ndio tulioutumia dakika 15 za mwisho, mbona hamkutusumbua ama kutufunga, wewe weka kichwani kuwa leo mtakutana na team tofauti na ya awali, sasa nendeni na matokeo mfukoni mkalie
Utaamini sasa maneno yng. Maana watu km nyie mkiwa mnaabiwa vitu ili usikie vzr km uko karibu unakolewa kwanza mankozi kichwani ili akili inakua sawa. Mfumo wa 4+3+3 ni mbovu sn. Sasa niambie mwenyewe Vini Jr na Hazard Jana walifanya nini? Bora ata ya huyo Babu Benzima.


Mkamuingiza na Asensio nae akaishia kuruka ruka tu.


Mendy na Miltao na babu yenu Ramos walifanya nini? Nacho ilibaki kidogo tu ale umeme.


Casamiro mpk kocha wenu akaamua kumtoa kabisa. Na alivyo mtoa ndio tukawakosa kosa nyingi za hatari.


Nafuu ya haya mazee mawili Kroos na Modric ndio walikuwa wanafurukuta. Lkn Kante ndio kiboko yenu. Kila mahali alikuwepo kuwafungua nati na spana lake na 80. Magoli yote mawili yametoka kupikwa na Kante.
 
HT:Tumepossess kwa kiwango kikubwa ila haina madhara,hakuna press tuliyofanya...bado eneo la kati chelsea wanatuzidi zaidi tunategemea kutumia pembeni ambapo inaonekana hiyo mbinu imefail...Hazard hajafanya chochote naona amerudi darajani kutalii,watu wetu mpira haukai mguuni..mpira ukifika kwa Casemiro basi kinachofuata ni back pass,hii siyo afya kwa kutegemea kushinda au kurudisha hapa,..beki zetu zinatoa macho tunaposhambuliwa,zinamuachia kipa abaki mwenyewe.

Kipindi kinachofuata inatakiwa ni kujitoa kwa kasi ya zaidi ya 200%...

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
@castr nilikwambia unaona jamaa yako anayosema hapa?


Ha ha ha ha
 
Msituangushe fainali aiseeh. Naomba Mungu anijalie uhai Ili nishudue hiyo mechi.
TT kadroo na man united
Kampiga city
Kampiga madrid
So lolote linaweza kutokea.
Hatumuogopi mtu ,pia tunajua mpira ni Dak 90 .
Walizoea kuingia na matokeo kipindi cha Lampard now ni kuchana mikeka.
 
We unataka kuleta ushabiki maandazi, mie nazungumzia soka.. Kwa taarifa yako, mimi si mshabiki wa madrid wala chelsea..

Soka kwangu mbele kuliko ushabiki maandazi..

Ndio yale yale kuna chizi mwenzio kumuita ngolo kante mtu mmoja na nusu anasema mie chelsea

Wakat mwingi matokeo huletwa na timu nzima kwa mfumo mzuri (mbinu) nzuri za kocha..
Ofcz modric yuko vizuri tena mnoo, angefanya nini unadhani pale.. We unadhani shughuli aliyofanya ndogo!??
muyo shoga ako luka hana namba mbele ya chama
 
Goli la kwanza ndio limeamua game, Chelsea wakaona tunaweza kushinda, wakaongeza nguvu. Unaona mapumziko walitoka nje kabla ya muda. Real Madrid wamecheza mazoea, lakini jamaa wameamua kupambana kinyama. Inauma sana, lakini nimependa spirit yao.
Mkuu madrid tuliwamiliki tukiwa kwao.

Na tumewamiliki tukiwa darajani.
Madrid ni timu kubwa yenye wachezaji ghali duniani na kocha mzoefu.

Goli moja la chelsea haliwezi kuwatoa mchezoni timu kubwa kama ile.

Ukweli ni kwamba tumewazidi uwezo uwanjani.

Walitutisha kwa majina nje ya uwanja,
Na dak90 tumeziona.
Tumewakosa goli zaidi ya saba .

This is new chelsea
 
Babu yenu Ramos kainama. Miltao nae kalala.

Thibaut ndio kalala miguu chali. Ha ha ha ha ha....chezea Chelsea wewe
IMG_20210506_090818.jpg
 
Huwezi unlock na wakati Westbrom kawapiga 5 na formation hii hii?
Sbbu ya kufungwa na WBA tulilambwa kadi nyekundu.... Lkn kabla ya kadi tulikuwa moto hao WBA walikuwa wamekufa.


Nakwambia hamuwezi unlock the defensive machine ya 5+3+2... Na mna bahati sn Kovacic alikuwa majeruhi. Huyu mtu angewakusanya hapo kati km kijiji wooote na kuwageuza anavyotaka yeye. Umemuona tu Kante alivyo wasasambua wote.
 
Hazard hakuonyesha Ukubwa Wake na Wala Hakujitoa Alizingua Sana.
ila Agost Tufanye Usajili Wa Kutosha.
 
Sbbu ya kufungwa na WBA tulilambwa kadi nyekundu.... Lkn kabla ya kadi tulikuwa moto hao WBA walikuwa wamekufa.


Nakwambia hamuwezi unlock the defensive machine ya 5+3+2... Na mna bahati sn Kovacic alikuwa majeruhi. Huyu mtu angewakusanya hapo kati km kijiji wooote na kuwageuza anavyotaka yeye. Umemuona tu Kante alivyo wasasambua wote.
Kadi nyekundu moja ni kitu gani kwa kocha mwenye mbinu? Mbona Ajax aligewa red moja akawasasambua ikabidi red nyingine iongezeke ili mshinde?

Na kwa Ajax hamkushinda tano ingawa ana red zaidi ya moja.

Nyinyi mna red moja mnakufa 5 mnasingizia red.
 
Back
Top Bottom