Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unaanza kuwakataa wachezaji Wako hiyo ndio Chelsea leo Tuchel kaja na mbinu ya kuwaachie mcheze nyinyi ili mtengeneze space ya Chelsea kupiga counter attack na nyinyi mmeingia kwenye mtego wake
Nilisema watu hawajajua hii ni Chelsea ya T Tuchel
 
Chelsea deserved it. The energy level walioionyesha sio ya kawaida. Dakika 90 wanakimbia
Kabisa mkuu, mimi ni Madrid ila mpira walioucheza leo madrid ni mashudu tu, hana beki za maana(Wana kabia macho), haeleweki anacheza mfumo gani,,. Yani Kiufupi, tumepigwa kihalali kabisa.

Tusubiri mtanange wa fainali.
 
Sisi Man city, tutamnyoosha chelsea wala musijali wakuu. Hapa Mahrez, Aguero, foden na De bruyne..kule nyuma Ruben dias, watakipata wakitakacho

Man city 2-0 Cheleseee
 
Sisi Man city, tutamnyoosha chelsea wala musijali wakuu. Hapa Mahrez, Aguero, foden na De bruyne..kule nyuma Ruben dias, watakipata wakitakacho

Man city 2-0 Cheleseee
Msituangushe fainali aiseeh. Naomba Mungu anijalie uhai Ili nishudue hiyo mechi.
 
Back
Top Bottom