Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Picha hizi zikae hapa kwa muda wote ambao JF itakapo endelea kuwepo.
Tukio hili lilitukia Stamford Bridge tarehe 6 May 2021 siku ya Jumatano katika nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya.
 
Hapana wanaoongea sana niwale mabingwa wakila baada ya miaka kumi
Watu wanazidi kuimwagia sifa Chelsea lkn hawaachi kumwagia sifa Kante wakidai kuwa ni mchezaji zaidi ya mmoja. Ukiwa na Kante basi unakua na wachezaji wawili zaidi.

The whole team were absolutely superb over both games and ended up deserved winners against a giant of European football in Real Madrid.

But there was once again another Man of the Match performance from the robot human that is N’Golo Kante. When people say it is like having two players on the pitch when he plays, that is literally a fact!

Kante was colossal for Chelsea again last night and deserved his award, but as always he stays Mr humble, and it is left for his team mates to give him the praise he deserves.

Timo Werner nae hakua nyuma kumwagia sifa Kante yaani ukiwa na Kante unakua unacheza na watu wawili zaidi

“N’Golo is always really important for us. He’s a beast, to win the ball and fight and run all over the place. The manager tells us every time he is playing that we play with two players.

“He’s a really good guy, plays so good, and also last night how he ran next to me and created a chance and also when he ran with the ball, gave a pass to Christian at the second goal. He’s so important to us and I’m very glad we have him in our squad.”
 
A giant of European football hapo nimekusoma maana class is permanent ck zote
 
Yeye mwenyewe alishasema. Kz imebaki kwenu kukataa kucheza na Chelsea. Ndio kz iliyo baki mfanye nyie timu zingine.View attachment 1776092
Asitutishe...kuna tofauti nyingi tu kati ya Chelsea ya sasa na Madrid ya sasa huko,Chelsea are making headlines tu mpira wa England na Ulaya una wenyewe...watoto wadogo endeleeni kula chocolate tu kwenye seat zetu...tunajua fainali inachezwa na timu yenye UEFA 1-0 kwahiyo mna njaa kweli kweli na hiyo kitu japo inauma kututoa sisi Madrid
 
Mimi bado naamini tunatakiwa tufanye reform ya hii timu kuanzia benchi la ufundi,waliopo wengi wameshashinda kila kitu kwa hiyo hawana morali....kwa sababu unaona kabisa mnafikia sehemu kwenye peak yakupata ushindi ila huon timu ikicheza kwa jasho na damu..

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande wangu, mpaka tulipofikia team imejitahidi sana, almost karibia msimu mzima Zidane hajafanikiwa kuwa na kikosi chake chote, kila siku ni majeruhi juu ya majeruhi, tumekuwa na shida sana kwenye full back wetu, hao wanaokaimu hawakizi viwango, angalia jana Marcelo na Ordiozola, yaani kuuzia hawawezi wala kushambulia hawawezi, hapo utaanza vp kumlaumu Zidane, hao ndio wachezaji alionao kwenye bench.
Sehemu ninayoona tunahitaji wachezaji wapya, both full backs, kwenye kiungo pia tunahitaji mtu pale sijajua status ya Odegaard na Blanco itakuwa vp, ila tunahitaji mtu wa kukaimu kazi za Casemiro, wing ya kushoto sio Hazard wala Vinicius hawatoshi, plus tupate mtu wa kusaidiana na Benzema, acha tuone msimu utaisha vp na baada ya hapo itakuwaje, kwasababu focus kubwa ya club wanaangalia mwenendo wa Zidane, baada ya hapo labda ndio harakati za kuijenga tena team zitaanza.
 
Back
Top Bottom