Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HT:Tumepossess kwa kiwango kikubwa ila haina madhara,hakuna press tuliyofanya...bado eneo la kati chelsea wanatuzidi zaidi tunategemea kutumia pembeni ambapo inaonekana hiyo mbinu imefail...Hazard hajafanya chochote naona amerudi darajani kutalii,watu wetu mpira haukai mguuni..mpira ukifika kwa Casemiro basi kinachofuata ni back pass,hii siyo afya kwa kutegemea kushinda au kurudisha hapa,..beki zetu zinatoa macho tunaposhambuliwa,zinamuachia kipa abaki mwenyewe.

Kipindi kinachofuata inatakiwa ni kujitoa kwa kasi ya zaidi ya 200%...

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Upo sahihi 100%....hakuna mpira wa hatar hapa...sisi tunapiga sana back pass,hakuna press kabisa...

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Man hatuwezi kuwa na hatari kihivyo kumbuka ule upande wa kushoto yupo Hazard, na kulia yupo Vinicius, Sasa huu upande wa Vinicius ndio tumepotea kwasababu jamaa huwa hawezi kuanzia kulia ni afadhali angeanza Asensio ama Rodrygo, Hawa ndio wanaweza kucheza wing ya kulia, kule kushoto tupo very superior ila ndio kwanza hawazalishi chochote, hope Zidane ameona hii kitu, team inacheza poa sana tunahitaji vitu vidogo sana kumalizia hii game.
 
Hizi beki kama zimepigwa barafu aisee.....

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Nacho ingependeza zaidi angerudi kulia, ili Militao na Ramos warudi kati, kwasababu kule kushoto kama tuna watu wengi sana, halafu kama inawezekana Hazard acheze kulia kwasababu yeye ni mzoefu kidogo Vinicius arudi wing ya kushoto kwasababu ni kama tumempoteza Vinicius kwenye hii game.
 
Zidane kiazi sana naona amezidiwa mbinu kabisa, Kila saa back passes na side passes. Modric unamuweka sita alafu casemiro 8 kwenye mechi inayohitaji ufundi unategemegea nini? Tunajua zidane anategemea wachezaji kwa uwezo wao wambebe kuliko mbinu zake basi ajitahidi hata kupanga watu kwenye nafasi zao. Wachezaji wetu wanabahatisha passes na hakuna muunganiko kabisa.
 
Man hatuwezi kuwa na hatari kihivyo kumbuka ule upande wa kushoto yupo Hazard, na kulia yupo Vinicius, Sasa huu upande wa Vinicius ndio tumepotea kwasababu jamaa huwa hawezi kuanzia kulia ni afadhali angeanza Asensio ama Rodrygo, Hawa ndio wanaweza kucheza wing ya kulia, kule kushoto tupo very superior ila ndio kwanza hawazalishi chochote, hope Zidane ameona hii kitu, team inacheza poa sana tunahitaji vitu vidogo sana kumalizia hii game.
Vinicius ni mchezaji mzuri, ila hii game imemshinda. Mabeki wetu wanapanda sana juu, na pale mashambulizi yanapoanza kuru kwetu wamekuwa ni wazembe sana kumark watu. Uwepo wa Ramos leo imesaidia, vinginevyo tungekuwa tumefungwa hata magoli mawili kabisa.
 
Zidane kiazi sana naona amezidiwa mbinu kabisa, Kila saa back passes na side passes. Modric unamuweka sita alafu casemiro 8 kwenye mechi inayohitaji ufundi unategemegea nini? Tunajua zidane anategemea wachezaji kwa uwezo wao wambebe kuliko mbinu zake basi ajitahidi hata kupanga watu kwenye nafasi zao. Wachezaji wetu wanabahatisha passes na hakuna muunganiko kabisa.
mbona unalia sasa
 
Vinicius ni mchezaji mzuri, ila hii game imemshinda. Mabeki wetu wanapanda sana juu, na pale mashambulizi yanapoanza kuru kwetu wamekuwa ni wazembe sana kumark watu. Uwepo wa Ramos leo imesaidia, vinginevyo tungekuwa tumefungwa hata magoli mawili kabisa.
ingia wewe
 
Mpaka sasa team imecheza vizuri licha ya kuwa nyuma kwa goli moja, Tunahitaji vitu vidogo sana kupata goli la kusawazisha, na huo uwezo tunao.
HalaMadrid!!
 
Vinicius ni mchezaji mzuri, ila hii game imemshinda. Mabeki wetu wanapanda sana juu, na pale mashambulizi yanapoanza kuru kwetu wamekuwa ni wazembe sana kumark watu. Uwepo wa Ramos leo imesaidia, vinginevyo tungekuwa tumefungwa hata magoli mawili kabisa.
Hakuna decent cross yoyote iliyopigwa na full backs wetu hadi sasa.
 
Vinicius ni mchezaji mzuri, ila hii game imemshinda. Mabeki wetu wanapanda sana juu, na pale mashambulizi yanapoanza kuru kwetu wamekuwa ni wazembe sana kumark watu. Uwepo wa Ramos leo imesaidia, vinginevyo tungekuwa tumefungwa hata magoli mawili kabisa.
Dogo hajawahi kucheza wing ya kulia ndio maana Zidane huwa anaanza na Asensio ama Rodrygo kwenye hiyo nafasi, Kijana huo upande amepotea
 
Back
Top Bottom