Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mara nyingi huwa nilikuwa ninatumia hesgoal.com, kidogo hii huwa ninaona hawazingui sana, so utajaribu hapo Mkuu na kama kuna mtu mwingine mwenye link nzuri na ya uhakika basi ataweka ili uweze kupata burudani
Hesgoal kuna kipindi niliitembelea kkawa inaleta manjegeke
 
Leo tunampa Hazard mtihani wa kwanza kama anaweza kuwa mchezaji mwandamizi ndani ya team ama tumtafute mwinginei!?
Tunahitaji speed ya Vinicius aitumie vizuri huku Benzema akitakiwa kutumia nafasi atakazopata vema plus macho na pass zenye akili kutoka kwa Hazard
HalaMadrid!!
 
Back
Top Bottom