Kwani show ikiisha huwa mnaondoka, si huwa mnabaki mnapiga story kwanzaMpira umeisha muende sasa kwenye majukwaa yenu.






✅✅✅😂😂😂 kaka acheni ndoto za mchana Darajani hamtoki
Kwani show ikiisha huwa mnaondoka, si huwa mnabaki mnapiga story kwanza![]()
Msituangushe fainali aiseeh. Naomba Mungu anijalie uhai Ili nishudue hiyo mechi.
Goli la kwanza ndio limeamua game, Chelsea wakaona tunaweza kushinda, wakaongeza nguvu. Unaona mapumziko walitoka nje kabla ya muda. Real Madrid wamecheza mazoea, lakini jamaa wameamua kupambana kinyama. Inauma sana, lakini nimependa spirit yao.
Zizou kazingua leo ...tactics zake leo havikuwa sahihi.Goli la kwanza ndio limeamua game, Chelsea wakaona tunaweza kushinda, wakaongeza nguvu. Unaona mapumziko walitoka nje kabla ya muda. Real Madrid wamecheza mazoea, lakini jamaa wameamua kupambana kinyama. Inauma sana, lakini nimependa spirit yao.
Alizingua first leg na this time pia, sikuona umuhimu wa yeye kucheza na beki 4 2 2 ingekuwa poa zaidi, sema ndio hivyo, once again Chelsea wametumia nafasi vyema kuliko sisi, niwape hongera kwa hilo,Zizou kazingua leo ...tactics zake leo havikuwa sahihi.
kakimbie weweHuyu casemiro ana mapunye kwenye mpaja nini?hawez kukimbia *****..%#^&#&
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
ingia wewe
ufundi wake umesaidia niniModric km mvinyo... Fundi saana huyu kikongwe
We unataka kuleta ushabiki maandazi, mie nazungumzia soka.. Kwa taarifa yako, mimi si mshabiki wa madrid wala chelsea..ufundi wake umesaidia nini

We unataka kuleta ushabiki maandazi, mie nazungumzia soka.. Kwa taarifa yako, mimi si mshabiki wa madrid wala chelsea..
Soka kwangu mbele kuliko ushabiki maandazi..
Ndio yale yale kuna chizi mwenzio kumuita ngolo kante mtu mmoja na nusu anasema mie chelsea
Wakat mwingi matokeo huletwa na timu nzima kwa mfumo mzuri (mbinu) nzuri za kocha..
Ofcz modric yuko vizuri tena mnoo, angefanya nini unadhani pale.. We unadhani shughuli aliyofanya ndogo!??
Mechi moja tu alicheza vizuri na Liver basi hizi mechi mbili na chelsea alikuwa anazunguka tu kama Ali kiba alivyokuwa coast unionVinicius ni mchezaji mzuri, ila hii game imemshinda. Mabeki wetu wanapanda sana juu, na pale mashambulizi yanapoanza kuru kwetu wamekuwa ni wazembe sana kumark watu. Uwepo wa Ramos leo imesaidia, vinginevyo tungekuwa tumefungwa hata magoli mawili kabisa.
Hata hivo mbili Madrid washukuru ukweli ilikuwa tano bila safi kabisa.🤣🤣🤣🤣 Unaanza kuwakataa wachezaji Wako hiyo ndio Chelsea leo Tuchel kaja na mbinu ya kuwaachie mcheze nyinyi ili mtengeneze space ya Chelsea kupiga counter attack na nyinyi mmeingia kwenye mtego wake
Naunga mkono mzee akilimaliWenye timu tunataka tuanze kuweka kikao chakuijadili timu yetu