Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

DqnFpF-X0AAxnGo.jpg
 
Huyu kipa wetu mpya me nina amini ni bora sana...tatizo sisi ni kuwa kwanza tuliruhusu kocha bora kuondoka kisha tukaiba kocha asiye na rekodi inayoeleweka katika vilabu vya mpira...lakini kama haitoshi ni kuwa tumeuza mchezaji bora wa dunia tukarudisha mchezaji ambaye hakuwa na perfomance nzuri nakwa dharau tukampa jezi nzito namba 7....hatusujudu jezi lakini ina madhara kwa anayeivaa kwa maana ya kuwa watu wanalinganisha...tulishasema hapa...huwez tegemea kufika mbele kwa kutegemea benzema ili afunge goli lazima apate nafasi 10 za wazi ilihali bale ni mgonjwa muda wote na ili aweze kupata speed yakufunga anahitaji mechi 7 in series zakukaa vyema..tuna vijana ambao wanahitaji kukua kutoka kwa wachezaji viwango cha dunia..hii ni aibu ambayo tulikuwa tunaisubiria lakini pia nyingine inakuja kwenye UCL...nategemea January tutafanya mabadiliko makubwa sana katika timu lakin kwa masaa 24 haya benchi la ufundi litoke lije lingine...
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom