Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,109
- 1,249,102
Hapa hali ya hewa sio rafiki kwa uzi ule ngoja nikuite huko utauona
Sijaiona, unaweza kunitupia link hapa?
Sijaiona, unaweza kunitupia link hapa?
Unachotaka kusema angelikuwemo Ronaldo Real Madrid Wangelishinda au?
Mwaka jana walikula kipigo cha 3-0 tena ndani ya Bernabau na Ronaldo akiwa ndani.
Nimechoka kweli kweli, ila sina jinsi, team yangu ni Real madrid na nitaendelea kuishabikia, ila kwasasa kama solution ni kupata coach mpya ninaridhia kwa moyo mmoja. Nimeshachoka kukosa raha kila week, nilikuwa ninaona sio poa kumfukuza coach muda huu, ila kwasasa ninaona ni poa tu.
Unabishana na messi fan huyu jamaa hampendi ronaldo balaaMKUU MBONA UNADIVERGE KWENYE HOJA ZAKO ULIZOKUWA UNAJIBIZANA NA WATU HUMU JUKWAANI...NASHANGAA UNAMUINGIZA VIPI RONALDO WAKATI WEWE WATU WAKIONGELEA MAPUNGUFU YANAYOONEKANA WAZI KWENYE TIMU WEWE ULIKUWA UNAWALIPUKIA NA CHA AJABU KADRI SIKU ZINAVYOENDA YANAZIDI KUJIDHIIRISHA , OK!...STOP ATTACKING OTHER FANS AND NO NEED TO FIGHT EACH OTHER AS LONG AS BOTH WE'RE MADRID FANS BUT FIRST YOU MUST ACCEPT THAT REAL HAS A PROBLEM AND OBVIOUSLY NOT GOING IN OUR WAYS WE USE TO OPERATE...RIGHT?
Haha wamekutana na tim ya dunia wanajitetea cristina hayupo mbona akiwepo huwa mnapelekeshwaga ivoivo na bahat yenu leo king mesia hayupo
Tena wajue kua saiv magoli yake ndy yanaipa ushindi juveKuna wachezaji waliongea shits kwa CR7 baada ya kushinda game za mwanzo huku CR7 akiwa hafungi.
Mara ooh, sasa hivi tunacheza kitimu, kuna mtu mmoja alikuwa anaharibu teamwork, nk nk.
Leo sasa...