Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #39,281
SUAREZ SCORES FOR BARCELONA FROM THE SPOT!
2-0 TO BARCELONA!
2-0 TO BARCELONA!
Yaaaaaah timu imepoteana sana kwa leoTukiendelea hivi itatugharimu...timu imezubaa
Suarez kagusa mpira Varane kapiga mguu wa Suarez na alikuwa mtu wa mwishoSuarez kaweka mguu katika movement ya Varane....na siyo kinyume chake...huyu refa katuua
Hata 5 wanaweza kutupiga....Yaaaaaah timu imepoteana sana kwa leo
pita kule, goli zitarudi tu hizoBarcelona piga 5 hawa
hakuna kukata tamaa, ni kweli tumepoteana uwanjani ila watakaa sawa tuHata 5 wanaweza kutupiga....
si mmeamua kumtoa kafara ili mshinde, sawa tuHapa Messi hayupo, mshakula 2, angekuwepo sijui ingekuwaje. Poleni.
Kafara ndio nini?si mmeamua kumtoa kafara ili mshinde, sawa tu
hata mi naona hivyo. Yani wanaruk ruka tu, wamepoteana hovyoHadi sa hv hatujajua tunatumia mfumo gani....plus timu haina morali...
ngoja nikuangalizie kamusi hapa kwa msaada zaidiKafara ndio nini?