Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Lopetegui sacking post is incoming.

Perez is also to blame. No Madrid fan should let Perez feel that the blame is not on him.

And the players?! It is a shame the lack of discipline, the lack of effort and work from them.

No excuses.



44946604_2245037785520969_1420248360828272640_n.jpg
 
Hodi hodi humu ndani,
Mkatalunya nimeingia,
Poleni sana watani,,
Sisi leo tumejipigia,
King Messi jukwaani,
Akiwa anawaangalia,
....... Hahahahaa
images%20(1).jpg
 
HABARI ZIMFIKIE PEREZ.. Hii timu imeshajichokea haitishi tena.. Usajili wa maana unahitajika.. Bale na Benzema hawataifikisha timu popote...
 
Angalia tu usije ukamakataa, team yetu haipo poa sana ila huyo dogo ni mapema sana kumlingnisha na Luka Modric
😛😛😛😛Jirani nilikwambia aisee brother luka maduara alishajiandaa kisaikolojia maana kuna muda nilikuwa namtafuta wakati dogo arthur anagawa chakula kumbe kajificha yani kawanawisha mikono halafu akawa anafanya sergio yule mupe,rakitic huyo mupe huku huyo kroos muruke ameshikilia jungu la msosi...casemiro kalizimisha sana kutaka nae awe muandazi lakini mambo yakawa sio mambo dogo kafanya unyangindo mbele ya mademu zenu
 
Now now!Lets give him some respect and move on. Where are those players says they are of better team without him. Pheeeewwww

Where are those plastic fans a.k.a card owners full kutoa mapovu na kumdiss aliyewaachia timu kisa kumuona mzee hafai

Bale na benzema wauzwe tu hawana faida.

Isco ajifunze mpira kuliko mipasho.

See barca without Messi bado wapo juu.
 
Hivi hakuna kanuni kwenye mikataba ya wachezaji na kocha kukatwa mishahara endapo watapoteza michezo kadhaa kwa mfululizo?


No, dawa yao wanapewa kesi ya Tax Ovasion kisha wanakamuliwa milioni kadhaa pesa inakwenda kwa wanakijiji
 
Back
Top Bottom