IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,920
- 5,267
Juventus 2-1 EmpoliNaomba matokeo ya leo
Brace from ronaldo
Juventus 2-1 EmpoliNaomba matokeo ya leo
Ha ha ha poor fan just imagine ha ha haJuventus 2-1 Empoli
Brace from ronaldo
Inabidi itengenezwe thread ya CR7 ili uwe unatuwekea magoli yake.
Nasikia Conte anasign jumatatu kama new manager
Ishu ni usajiri,,,timu imechoka ile,,ina zaidi ya misimu mitatu sasa haijafanya usajr wa maana hata hayo makombe waliyochukua ni kibahat bahat tuNae ajiandae kutimuliwa. Timu inahitaji usajili mkubwa.
Ishu ni usajiri,,,timu imechoka ile,,ina zaidi ya misimu mitatu sasa haijafanya usajr wa maana hata hayo makombe waliyochukua ni kibahat bahat tu
Anyways kinachohitajka ni usajiri wa nguvu ili tuweze kwenda na kasi ya timu zngine,,hiki kipigi cha aibu sanaWeuwee yale makombe walistahili ila kwa sasa wanahitaji usajili wa maana.
Courtouis sijui ana hali gani maana jamaa alishasema hapend kufanya kazi na conte
Hahhaha dah kuna watu muna majibu...Wangekula mguu![]()
Hahaha numbisa wewe,,,Anyways kinachohitajka ni usajiri wa nguvu ili tuweze kwenda na kasi ya timu zngine,,hiki kipigi cha aibu sana
Hahaha Conte atawaletea ule mfumo wake wa 3-4-3 ambao ni mfumo mgumu kama huna wachezaji wenye kasi. Labda Marcelo ataweza ila naye anatatizo la kupanda sana mbele na kushindwa kurudi..Nae ajiandae kutimuliwa. Timu inahitaji usajili mkubwa.
Ipo humu humu sports, kuna kila goli la CR7 msimu huu
Loooos Blancoooosssss ..mnajisiakiaje kwa dozi mliyopata....
Apo ndo anatakiwa ajipange sasa maana wakati anaondoka Darajani hakutumia hekima yeyote ..Bali aliforce tu akidhani atakwenda Ku shine ..lakini mambo yanamwndea kombo ..apo lazima ajutie uamuz wake wa haraka haraka ..Weuwee yale makombe walistahili ila kwa sasa wanahitaji usajili wa maana.
Courtouis sijui ana hali gani maana jamaa alishasema hapend kufanya kazi na conte
Hahahaha mkuu unatakiwa ujue kwamba King Messi hakucheza leo....Acheni ufala Gayleona boys!.