Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Okay Madridistas, we only celebrate tonight and tomorrow at the Cibeles. Then IT'S ON FOR LA DECIMOTERCERA.
Lile shuti huku mtaani cha ndimu wanaliita "Mama mkanye mwanao" hatari sana, alichomfanyia Pepe Reina amekifanya tena Leo kwa BuffonBado natafakari lile shuti la Casemiro, nafikiri alikusudia kuua.
CR7Hivi Andunje ndiye kabeba kiatu au ni Christiano?
Dan Cooper dadaako everlenk anakuulizia. Nimemwambia atulie tukutame UEFA Super Cup mwezi August.
Kweli kabisa wakuu, Zidane ni PROFESSOR, hakuna ubishi.Marca's Cover | "The Prophecy Zidane predicted in 2003 the club's successes: " I want la Décima, Undécima & Duodecima."
![]()
Lile shuti huku mtaani cha ndimu wanaliita "Mama mkanye mwanao" hatari sana, alichomfanyia Pepe Reina amekifanya tena Leo kwa Buffon
Haaa haaa hata kama nina mahaba naye ila Man of the Match anatakiwa kupewa kati ya Isco,Ton Krose au Casemiro hawa Watu leo wamepiga mpira Mwingi sana aisee.Inatakiwa Tuchukur tena Mwakani ili iwe Hat Trick
Man Of The Match Ronaldo
Balloon D' Or ni ya CR7 hana mpinzani tena,mpinzani wake Buffon leo ndio kamdhalilisha,Mess alishapotea msimu huu hana chake.Ila wampe tu Buffon Ballon d'or kama mashabiki wa Barca wanavyotaka maana ndiyo anastaafu tena angalau atoke na chochote kitu asistaafu bila tunzo
Hahaha namsubiri sana mwambie. Tuna unfinished business na Mourinho. Congrats bro, this is heaven.


Casemiro hapana kwa kweli, Mzee Buffon alikuwa anasubiria kubeba ndoo ya UCL kwa mara ya kwanza astaafu, sasa ninaona anastaafu bila Hiyo ndoo, labda wajaribu tena msimu ujao.Lile shuti hatari sana kwa wazee kama Buffon, Casemiro alitaka kumuua babu wa watu, wamuache astaaf salama.