Jamaa anazeeka vibaya anafungwa magoli laini laini kwa kweliii [emoji4] [emoji4]What a night whoooooaaa
Buffon ngoma imeishaaa staafuuu sasa
Baloon d'or unamhusu Jamaa...
Bado mkuuuh tukomae zaidiiiiiii......
Hahahaha kila kitu kina muda wake.Jamaa anazeeka vibaya anafungwa magoli laini laini kwa kweliii [emoji4] [emoji4]
Jamaa si wa Dunia Hii mkuu... Kiatu na Baloon d'0 vyote vyake...
Wanapoteana tuuuMasikini watoto wa watu[emoji15] [emoji1] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Unakumbuka kuanzia last season ulikuwa unalalamika Perez amuuze CR7Cristiano Ronaldo has scored 10+ Champions League goals in six consecutive seasons—nobody else has managed it in more than two.