Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #30,161
Kifaa cha nani hiki wakuu?
Mtani siku hizi huonekani....nakusalimu katika jina la upendo mwingi mwingi.....uwe unakuja kusalimia siku moja moja...Nipo sanaa,kweli aiseee siku mingi sana nilidili zaidi na matatizo yetu ya Old Trafford,.... pacha wako yupo wapi simuonii?
Kifaa cha nani hiki wakuu?
Mtani nashukuru sana yaani hizo salamu zimepenya kabisaa,aisee kwanza hongera mwaka wenu huu tena yaani mnatesa nyie tuuu!! Mtani baba Jesca anabana sana lakini siku moja moja kama hivi tutajitahidi kuja.Mtani siku hizi huonekani....nakusalimu katika jina la upendo mwingi mwingi.....uwe unakuja kusalimia siku moja moja...
Du, kinatia hamu si mchezo. Huu ndio uzuri wa kuwa na hela za kutosha....vimwana wanakufuata tu kama kama kumbikumbi.Cha Ronaldo kama sijakosea..!!
Du, kinatia hamu si mchezo. Huu ndio uzuri wa kuwa na hela za kutosha....vimwana wanakufuata tu kama kama kumbikumbi.
Kumbe weweeee!! Ningekupita barabarani nakukanyaga kumbe kaka yangu wa damu kabisaaa!! Una majanga gani wewe!!! Kwanza hongera !!! Super cup itakuwa super kweli !! Tumerudi kwa mwendokasi!!![]()
Hahaha mie sisemi ila kumbuka tu kuna wakati sisimizi anaua tembo!!!Ndio mimi bana. Aisee mna mkosi sana kukutana na sisi, maana ndoto zenu tunazitia doa mapeeema kabisa. Mtajuta siku hiyo. Sina bifu na nyie, ila yule mreno wenu aliyetaka kutuharibia club.
Hahaha mie sisemi ila kumbuka tu kuna wakati sisimizi anaua tembo!!!
Si umemsikia Mreno lakiniii!! Hahahha utazidi kumpenda Mreno maana siyo kumchukia,ukitaka DDG weka nini na nini???Ah wapi, sio kwetu. Na kipa wetu mumtume mapema kabisa, tumenunua fax machine mpya.

Ahsante sana mtani.....huu mwaka ni kma vile mwezi wa 12....raha kila siku....baba jesca nasikia ni real...kesho kutwa anaweza sema mapumziko hata ya wafanyabiasharaMtani nashukuru sana yaani hizo salamu zimepenya kabisaa,aisee kwanza hongera mwaka wenu huu tena yaani mnatesa nyie tuuu!! Mtani baba Jesca anabana sana lakini siku moja moja kama hivi tutajitahidi kuja.

