tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,897
- 25,236
Hivi Andunje ndiye kabeba kiatu au ni Christiano?Team Andunje wana wakati mgumu aisee..hawana furaha kabisa
Hivi Andunje ndiye kabeba kiatu au ni Christiano?Team Andunje wana wakati mgumu aisee..hawana furaha kabisa
Juve has had a great run, but Real Madrid's a greater one. Napoli, Bayern and Atleti all offered everything plus massive excess to what Juve could, and we still managed them with almost ease. Real Madrid has shown a zillion times the ability to adapt to any opponent, tactics, or run of play and come out on top.
Punchline is, the game is Real Madrid's to lose. We bring our A-game, and Juve won't stand a chance. I just hope our best come out tomorrow.
Nipo sanaa,kweli aiseee siku mingi sana nilidili zaidi na matatizo yetu ya Old Trafford,.... pacha wako yupo wapi simuonii?
Ushindi raha sana wakuu...hapa nipo na shemeji yenu najipigia tu kwa raha zangu! Madrid hureeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
Niko na laptop hapa kitandani mkuu....nshapiga kimoja, sasa nipo halftime nakusanya nguvu nipige cha pili nikalale. Ushindi raha sana I see!We jamaa ni multi tasking hatari yaani unapiga huku unafurahia na huku waandika JF
Hatari sana
Ningekua Mou nisingekubali timu icheze na Madrid.Real Madrid will take on Manchester United in the UEFA Super Cup in Macedonia on August 8.
Halafu hana makuu kabisaYani namkubali Zizou mpaka basi. Tokea akiwa mchezaji hadi kocha.
Huyu ndiye mchezaji wangu bora wa miaka yote,achana nao akina Pele wenu hahahaaa
Seriously jamaa ni genius wa mpira![]()
![]()
![]()
Tutawalipia kisasi Juve na mashabiki wote walioumizwa na matokeo ya Leo,tumuamini Mourihno katika Ujenzi wa Ukuta wa Nondo pale Old T.Duh ndio basi tena
Super cup itakuwa Madrid vs Man Utd
Halla MadridSo close!
![]()
Mabeki wake leo walikatika sana kaka,timu nzima ya Juve Leo walicheza chini ya kiwango chao,performance haikuwa nzuri lakini Madrid kutumia Viungo wengi Zaidi yao pia ilichangia kuwapoteza Juve katika eneo la Kiungo.Jamaa anazeeka vibaya anafungwa magoli laini laini kwa kweliii![]()
![]()
Hatari sana I see! Hii inaitwa "nikinyamasa niangusage", si mchezo!Congratulations Madridistas. Keep rewriting the history.