pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,273
- 3,808
Hala madrid .....simu ilinikatili na sikuwa na means....hongera wanazi na wadau wotw jamvini na dunian kote mlipo....tumestahili na tumedhihirisha ulimwengu kuwa huwa tukiona kombe mezan siyo watu wa mchezo....