Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mh kwani yeye wa kwanza kustaafu..ahhha ahhhha ina maana mashabiki wa Barca mtu wao yule hawampi tena nafasi ..
Hawampi maana alianza Shakira Buffon deserve this Ballon d'or.
Mara Xavi naye hivyo hivyo.
Na gazeti lao nalo hivyo hivyo
Sasa kwa kumhurumia tu apewe tuwasikilize mahasimu wetu jamani.
CR7 kachua kombe na kiatu basi ballon d'or amwachie Buffon ili Timu andunje(Messi) wafurahi
 
Ronaldo kazaliwa kuweka na kuzivunja hizo rekodi
Kiukweli lazima Real Itambue thamani yake na imthamini sana akiwa bado mchezaji hata wampe upande wa uwanja waite jina lake
Ametuokoa sana na kavunja rekodi zote za akina Bernabeu
 
Hawampi maana alianza Shakira Buffon deserve this Ballon d'or.
Mara Xavi naye hivyo hivyo.
Na gazeti lao nalo hivyo hivyo
Sasa kwa kumhurumia tu apewe tuwasikilize mahasimu wetu jamani.
CR7 kachua kombe na kiatu basi ballon d'or amwachie Buffon ili Timu andunje(Messi) wafurahi
Team Andunje wana wakati mgumu aisee..hawana furaha kabisa
 
Back
Top Bottom