Bado mkuuuh tukomae zaidiiiiiii......Duh ndio basi tena
Super cup itakuwa Madrid vs Man Utd
Bado kk tukaze hasaaa......!!!!!Watu walichoonga sana tumeondoa uchawi wa kutobeba mara 2
Jamaa si wa Dunia Hii mkuu... Kiatu na Baloon d'0 vyote vyake...Huyu jamaa ni kiboko.