Reaction ya Mzee wangu baada ya kusikia naishi na single mother.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,102
Reaction score
14,024
Nimekuwa inspired na Jesca Magufuli jinsi alivyoshare moments za baba yake enzi za uhai wake kwangu imenipa fundisho kuwa uwepo wa baba una maana kubwa kwenye ukuaji regardless financial status ana pesa ama hana ila guidance yake ni muhimu.

Reaction ya marehemu mzee wangu alipopata taarifa kuwa naishi na single mother jibu lake lilikuwa simple sana aliniambia Kila la heri mwanangu.
 
Duh.
Kisha ikawaje Mkuu?
Bado uko na singo Maza?
 
mie aliona miaka inaenda na sina mpango wa kuoa, alinambia mchukue mtu wako mweke ndani nipe taarifa nitafute wazee wenzangu tukabishe hodi huko hayo mambo ya kutaka harusi kubwa yatakupa presha bure
 
Back
Top Bottom