Re: Ujinga

Ujinga ni kumdanganya boss kwenye simu upo benki halafu anasikia sauti ya jogoo kawika!
 
ha ha ha ha ha ah ah aha ha ha ha
 
Ujinga ni kutoa michango ya malaki ya pesa msibani. Wakati marehemu alikosa laki 1 tu ya kutibiwa private hospital wakati wa mgomo.
 
Ujinga ni kuckiliza empty cd kwsababu hutaki kelele...!
 
Pia ujinga ni kupika chapati upande mmoja kisa mafuta yamepanda bei..!
 
Ujinga ni kumuomba konda wa daladala kuwa una mia mbili halafu unampa 10000.
 
huo ujinga tunao wengi sana aisee
 
ha ha ha ha ha ha ... huu ni ujinga square aisee
 
Ujinga ni kumvalisha ng'ombe miwani ya kijani ili ale kila kitu
 
Ujinga ni kupunguza sauti ya redio wakati unataka kusoma messege kwenye simu yako.!
 
ni ujinga kudanganya nyumbani unaenda kanisani huku ukielekea gest-house
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…