Eshacky JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 965 Reaction score 252 Mar 19, 2012 #221 Ujinga ni kushadadia umepona ugonjwa wa ngoz wakat unavaa mavaz km warussian ukiwa bongo kwny 32 degree Temp.
Ujinga ni kushadadia umepona ugonjwa wa ngoz wakat unavaa mavaz km warussian ukiwa bongo kwny 32 degree Temp.
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 Mar 23, 2012 #222 LATTICE BOND said: ujinga ni kuchechemea unapokanyaga kinyesi kana kwamba kina mwiba!! Click to expand... Tehe tehe! Ujinga ni demu kuomba umtumie vocha then anakubip
LATTICE BOND said: ujinga ni kuchechemea unapokanyaga kinyesi kana kwamba kina mwiba!! Click to expand... Tehe tehe! Ujinga ni demu kuomba umtumie vocha then anakubip
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 Mar 23, 2012 #223 mtzedi said: ujinga ni kuwa shabiki wa timu za ulaya za ulaya utazani huna hisa au wanakujua katika timu hizo. ujinga ni kuogopa kifo wakati kifo ni sure event. Click to expand... ujinga ni kushabikia mpira wa bongo kwa kuzani Mrisho Ngasa anakujua
mtzedi said: ujinga ni kuwa shabiki wa timu za ulaya za ulaya utazani huna hisa au wanakujua katika timu hizo. ujinga ni kuogopa kifo wakati kifo ni sure event. Click to expand... ujinga ni kushabikia mpira wa bongo kwa kuzani Mrisho Ngasa anakujua
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 Mar 23, 2012 #224 Jaslaws said: Ujinga ni kujamb ukiwa pekeako na kuhama sehem hyo eti pananuka. Click to expand... ujinga ni kufikiri ushuz wako haunuki
Jaslaws said: Ujinga ni kujamb ukiwa pekeako na kuhama sehem hyo eti pananuka. Click to expand... ujinga ni kufikiri ushuz wako haunuki
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 Mar 23, 2012 #225 ujinga ni kufurahia huduma ya voda ya 0.facebook.com wakati wamedissable all graphs objects
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 Mar 23, 2012 #226 pera said: ujinga ni kuzima taa wakati wa kufanya m.a-p.e-n.z-i ili usimuone mwenzako Click to expand... ujinga ni binadam kujiita pera
pera said: ujinga ni kuzima taa wakati wa kufanya m.a-p.e-n.z-i ili usimuone mwenzako Click to expand... ujinga ni binadam kujiita pera
A Arnoldger New Member Joined Apr 28, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Apr 28, 2012 #227 Ujinga ni kutafuta police station kwa redio
M Mahmoud Shariff Qaasim JF-Expert Member Joined Nov 3, 2007 Posts 923 Reaction score 271 Apr 28, 2012 #228 ujinga ni kwa familia nzima(baba mama na watoto) kumuita house gal DADA
S SALOK JF-Expert Member Joined Sep 20, 2011 Posts 3,610 Reaction score 2,274 Apr 28, 2012 #229 Ujinga ni kuangalia mpira kwenye tv huku unasinzia!
Pota JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 2,043 Reaction score 788 Apr 28, 2012 #230 ujinga ni kukubali kuwa axb=ab halafu 2x3=23 unapinga
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Apr 28, 2012 #231 ujinga ni baba kuwa na relation na beki3 afu mbele ya mkewe anajifanya kumfokeafokea.
S Sultani kambe Member Joined Apr 26, 2012 Posts 63 Reaction score 4 Apr 28, 2012 #232 Wambuzi said: Ujinga ni kumsafisha EL ukifikiri atapata mashiko kwa wanachi Click to expand... Niujinga kuwa upande wa magamba
Wambuzi said: Ujinga ni kumsafisha EL ukifikiri atapata mashiko kwa wanachi Click to expand... Niujinga kuwa upande wa magamba
S Sultani kambe Member Joined Apr 26, 2012 Posts 63 Reaction score 4 Apr 28, 2012 #233 Ujinga nikuwa kwenye chama cha magamba
Pota JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 2,043 Reaction score 788 Apr 28, 2012 #234 ujinga ni kumtema girl/boy friend wako then akipata mwingine unapata mawivu
Kichwa Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,726 Reaction score 314 Apr 28, 2012 #235 ujinga ukisalimiwa mambo unajibu poa alafu baada ya mazungumzo unasema unaumwa tangia juzi
Alexism JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 3,423 Reaction score 2,046 Apr 28, 2012 #236 Ujinga nikunya chooni alafu ukaangalia kama kweli umekunya.
M Mr. Magena Member Joined Aug 30, 2011 Posts 35 Reaction score 4 Apr 28, 2012 #237 Ujinga ni rafiki yko kukuita mchizi wangu na wewe unakichwa timamu.
P pera Senior Member Joined Jul 19, 2011 Posts 148 Reaction score 16 Apr 28, 2012 #238 ni ujinga kupokea cm halafu unauliza we nani
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,114 Apr 29, 2012 #239 pera said: ni ujinga kulala na mwanamke hoteli halafu unaibiwa na huyo mwanamke kisha unazingizia wenye hoteli Click to expand... malima
pera said: ni ujinga kulala na mwanamke hoteli halafu unaibiwa na huyo mwanamke kisha unazingizia wenye hoteli Click to expand... malima
by default JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 839 Reaction score 215 Apr 29, 2012 #240 Ujinga ni kununua carpet wakati unaishi nyumba yenye tiles.