roja24 JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 634 Reaction score 410 Mar 8, 2012 #201 ni ujinga mpaka leo hii kuna mijitu inavaliana nguo za kuazima mda viatu
L LATTICE BOND JF-Expert Member Joined May 30, 2011 Posts 219 Reaction score 48 Mar 8, 2012 #202 ujinga ni kuchechemea unapokanyaga kinyesi kana kwamba kina mwiba!!
J Johnson2012 Member Joined Jan 27, 2012 Posts 93 Reaction score 12 Mar 8, 2012 #203 ujinga ni kimwmbia kinda simamisha
G GHANI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 924 Reaction score 633 Mar 8, 2012 #204 Ujinga ni kukikimbiza kivuli chako.
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,149 Reaction score 43,087 Mar 8, 2012 #205 HYGEIA said: Hapo kwenye bold, unanikumbusha avatar ya Yo Yo ilivyonipa taabu nilipoiona mara ya mwanzo! Sikutumia arrow ya mouse ila kidole changu kufukuza mdudu kwenye screen! Click to expand... hahaaa haaaa hata mimi ilinipa shida Avatar ya Yo Yo...
HYGEIA said: Hapo kwenye bold, unanikumbusha avatar ya Yo Yo ilivyonipa taabu nilipoiona mara ya mwanzo! Sikutumia arrow ya mouse ila kidole changu kufukuza mdudu kwenye screen! Click to expand... hahaaa haaaa hata mimi ilinipa shida Avatar ya Yo Yo...
G GHANI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 924 Reaction score 633 Mar 8, 2012 #206 Ujinga ni kuchukua mwanamke mkubwa(jimama) kuzidi upana wa mlango wako.
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 335 Mar 9, 2012 Thread starter #207 Ni ujinga Madokta kuona raha kuendelea kugoma wakati watu wanakufa ilhali meshawekewa ahadi ya kuhakikisha waziri anawajibishwa
Ni ujinga Madokta kuona raha kuendelea kugoma wakati watu wanakufa ilhali meshawekewa ahadi ya kuhakikisha waziri anawajibishwa
P pera Senior Member Joined Jul 19, 2011 Posts 148 Reaction score 16 Mar 9, 2012 #208 ni ujinga kulala na mwanamke hoteli halafu unaibiwa na huyo mwanamke kisha unazingizia wenye hoteli
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,706 Reaction score 6,941 Mar 9, 2012 #209 Ni ujinga kutumia avator ya mtu kufikiri kuwa ni mbaya
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,706 Reaction score 6,941 Mar 9, 2012 #210 Ujinga ni kughadhabika baada ya mchango wako kupondwa hapa jf wakati ni siri yako na hakuna mtu wa karibu anayefahamu hilo
Ujinga ni kughadhabika baada ya mchango wako kupondwa hapa jf wakati ni siri yako na hakuna mtu wa karibu anayefahamu hilo
C cylu Member Joined Sep 21, 2010 Posts 90 Reaction score 48 Mar 10, 2012 #211 Kilahunja said: Ujinga ni kuangalia tamthiliya au movie mpaka kulia wakati ni dhahir unajua kwamba kina cho igizwa humo ni urongo/uongo. Click to expand... Well movie nyingine zinakuwa based on true story, hata hivyo mara nyingi zinakuwa na mambo yanayogusa hisia za huyo mtu kwa vitu anavyovijali.
Kilahunja said: Ujinga ni kuangalia tamthiliya au movie mpaka kulia wakati ni dhahir unajua kwamba kina cho igizwa humo ni urongo/uongo. Click to expand... Well movie nyingine zinakuwa based on true story, hata hivyo mara nyingi zinakuwa na mambo yanayogusa hisia za huyo mtu kwa vitu anavyovijali.
C client3 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2007 Posts 2,331 Reaction score 3,196 Mar 10, 2012 #212 cylu said: Well movie nyingine zinakuwa based on true story, hata hivyo mara nyingi zinakuwa na mambo yanayogusa hisia za huyo mtu kwa vitu anavyovijali. Click to expand... ujinga saaana kula ndizi na maganda.........si uache tu.
cylu said: Well movie nyingine zinakuwa based on true story, hata hivyo mara nyingi zinakuwa na mambo yanayogusa hisia za huyo mtu kwa vitu anavyovijali. Click to expand... ujinga saaana kula ndizi na maganda.........si uache tu.
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,140 Reaction score 6,356 Mar 11, 2012 #213 ujinga ni kuwa shabiki wa timu za ulaya za ulaya utazani huna hisa au wanakujua katika timu hizo. ujinga ni kuogopa kifo wakati kifo ni sure event.
ujinga ni kuwa shabiki wa timu za ulaya za ulaya utazani huna hisa au wanakujua katika timu hizo. ujinga ni kuogopa kifo wakati kifo ni sure event.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Mar 11, 2012 #214 Ujinga ni kumwamsha mgonjwa ili anywe dawa ya usingizi
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Mar 12, 2012 #215 Ziltan said: Ujinga ni kughadhabika baada ya mchango wako kupondwa hapa jf wakati ni siri yako na hakuna mtu wa karibu anayefahamu hilo Click to expand... Searching...100% Loading...100% Network Connected !
Ziltan said: Ujinga ni kughadhabika baada ya mchango wako kupondwa hapa jf wakati ni siri yako na hakuna mtu wa karibu anayefahamu hilo Click to expand... Searching...100% Loading...100% Network Connected !
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,300 Mar 12, 2012 #216 Ujinga ni kujamb ukiwa pekeako na kuhama sehem hyo eti pananuka.
yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 Mar 12, 2012 #217 Baba V said: Ujinga ni kumwamsha mgonjwa ili anywe dawa ya usingizi Click to expand... nina siku ya3 sija smile, baad ya refa wa azam kunichefua pale u.wa taifa. Leo ndo nimecheka bcoz of u.thanx
Baba V said: Ujinga ni kumwamsha mgonjwa ili anywe dawa ya usingizi Click to expand... nina siku ya3 sija smile, baad ya refa wa azam kunichefua pale u.wa taifa. Leo ndo nimecheka bcoz of u.thanx
MSOROPOGAS Member Joined Mar 7, 2012 Posts 65 Reaction score 11 Mar 12, 2012 #218 e bana ee, cha kuthibitisha ujinga, mdudu haondoki......
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Mar 12, 2012 #219 Ujinga ni kukubali kuwa chungwa kwa English ni Orange wakati Carrot ndo ina rangi halisi ya Orange!
P pera Senior Member Joined Jul 19, 2011 Posts 148 Reaction score 16 Mar 19, 2012 #220 ujinga ni kuzima taa wakati wa kufanya m.a-p.e-n.z-i ili usimuone mwenzako