RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

Ficha ujinga wako rc.angekuwa hana akili angeshaua wagonjwa wengi sana. Kabla hajafikia nafasi ya dmo tayari ameshapambana sana na wagonjwa hata na changamoto nyingi. Wewe nafasi uliyopewa kwa fadhila au baada ya ....... Unajiona una akili zaidi ya anayetumia taaluma yake. Au unadhani udaktari wake ni wa kumpanulia mtu mi.... aingize.wewe na daud ni wale wale.udaktari siyo maneno ni vitendo. Shame on you
But y madactari wamekaaa kimya aiseee yule dogo aliondoka pale kwa uchungu kweli but hana la kufanya kila mtu anamwangalia tu dah
 
Hivi madactary mpo au bado mnasoma BS Hakikisheni huyu dogo anarudishwa kazini its shame
 
Daktari hana akili??hivi huwa haugui huyu mkuu?madaktari mmekaa kimya tuu!!nyie wakuu acheni kuchezea taaluma za wenzenu.

Daktari kimaadili haruhusiwi kutumia taaluma yake kudhuru, hata ukikosewa vipi!!
 
Kuwa Daktari huchukua miaka mitano ya shule pamoja na mwaka mmoja wa internship hapo ndo unakuwa daktari wa kawaida but ukitaka kuwa na heshima ya udaktri, ongenza miaka mitatu ya residency jumla inakuwa miaka tisa na kwa ma DMO walio wengi wamesoma miaka 9 na wengine wapo hapa tunasoma nao. Kwa kifupi inaudhi na inatia hasira nisome miaka tisa halafu mwanasiasa tu hata shule hana anakuja kukuweka ndani kwa umaarufu wa kisiasa na kutafuta sifa za kijinga! Eti nilitaka apate akili! Kati ya yeye na Dr nani mwenye akili? Naunga mkono uamuzi wa Dr kujiuzulu.
Kwani hawana chama chao hawa madactari jamaaa. Hata tamko lao sijasikia
 
Ndio maana hatuwezi kukubali Bashite aachwe hivihivi, yaani mtu kafeli hadi darasa la 4 halafu anajiona Mungu mtu, hii ni dharau. Kuna umuhimu wa kuangalia elimu pia kwenye teuzi za u-dc na u-rc
Yani wanatumia madaraka vibaya sana bashite nae aliwaongosha engineer wa tanesco na wale afisa ardhi dah hawa vichaaa ndo hatuwataki dah this is shemu kwa kweli
 
Ndivyo baadhi ya viongozi wetu wanavyo tatua migogoro na ndivyo walivyo siku zote
 
Kipi bora kutangaza mlipuko wa kipindupindu au kupambana na kutibu ugonjwa usienee na kuleta madhara zaidi? Nadhani huyu Mama atumie akili akumbuke udaktari ni taaluma na haina ukomo wakati u RC unaukomo na ukitoka halo huna LA kufanya zaidi ya huyo Dr ambaye kesho utakwenda kwake kutibiwa, na akikukumbuka ndio utajua kipindundu kinatibiwa au kinatangazwa.
 
Mpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili

Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
 
Ataambiwa ajitibu mwenyewe kwani daktari yuko lock up.
 
Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
Hahahahaha
 
Mpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili
Mkuu wa wa mkoa ni Dr(PhD) je kwa uwezo wako unazani alizaliwa tu na kua mkuu wa mkoa... Je amesoma miaka mingapi mpaka kua na PHD
 
Mpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili

Hizi kazi za kina DAUDI BASHITE a.k.a Paulo Makondas. & Co. Ltd huwa hazihitaji elimu!
Ogopa sana mijitu iliyozungusha F4 ikipewa madaraka.
 
Back
Top Bottom