Binafsi ninafikiri kuna haja saana ya kutafakari katika nchi huru, wanahitajika viongozi au watawala.Sheria zetu bado ni za kikoloni japo kuwa tunajidai kuwa huru kwa miaka mingi. Hivi huu ujinga wa watanzania kuwa na nguvu ya kuwaweka watanzania wengine ndani bila makosa ya msingi bali utashi wa watawala hii kitu gani. Bora wakoloni walikuwa wanajihami dhidi ya weusi ambao kimsingi kutokana na kuwatawala kimabavu walikuwa maadui. Sasa watwambie uadui wetu na hawa watawala ni upi mpaka wawe na sheria za kujihami kama hizo za kuweka ndani weusi wenzao. Uhuru wa kweli bado sana.
Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.
Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Tatizo linakuwa kubwa zaidi pale mwenye madaraka ya juu anabariki vitendo hiviMadaraka Hulevya! Tatizo kubwa la nchi hii ni UJINGA
Mpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili
Kumuweka mtaaalamu kama dr lupango ni sawa na kucma wanasiasa hawataugua milele, bila kwenda kutibiwa, vinginevyo umejenga wingu nene na madaktari wote tanzania, tafakari kabla hujatenda faida na hasaraMa DC na Ma RC hawana KAZI ndio maana wanatafuta sana kuonekana kwenye TV.
Kuwa RC inahitaji kuwa na kadi ya chama, elimu hata ukifoji sawaMpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili
Hana power ya kumfukuza kazi,labda kumsimamisha wakati anamshitaki kwa bosi.Unataka kuniambia waziri mkuu hana power dhidi ya mkurugenzi kisa wote wameteuliwa na mtu mmoja?
ha ha ha ha...mi nikajua ni mke wa Emanuel nchimbi?huyo mume wake atakaehangaika kuzururz na mkewe kila anapohamishwa si atakuwa bwege
Anacheza na taaluma, nakumbuka Dr. Baki aliwahi kumfanyinzia RPC aliyemletea pesa za moto. Mbona jamaa alikuwa mdogooo kama kapiriton.Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
Wanatibiwa IndiaKumuweka mtaaalamu kama dr lupango ni sawa na kucma wanasiasa hawataugua milele, bila kwenda kutibiwa, vinginevyo umejenga wingu nene na madaktari wote tanzania, tafakari kabla hujatenda faida na hasara