Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.
Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?