New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,400
- 2,573
rehema nchimbi ni singida from Njombe..Mkuu wa mkoa wa singida chiku galawa how about Songwe and Dr. Rehema Nchimbi??? ??!
Olesendeka ni Njombe after rehema Nchimbi move..
rehema nchimbi ni singida from Njombe..Mkuu wa mkoa wa singida chiku galawa how about Songwe and Dr. Rehema Nchimbi??? ??!
Hako ka RC kenyewe kumbe ndo haka sura ngumuu na meno yake mekundu kama kang'ata nnya pambafffff..
Na huyu naye asiudhi watu! Atalipuliwa aombe poo.Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.
Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
ukweli unao mwenyewe.....mbona zote gari Ila kuna lorry na sedan....hujuihoja ni hiyo tu uliyoona kwani hauafahamu kuwa kusomea udakitari wa medicine si kuwa na akili kama ulivyodai hapo awali bali unakuwa na akili ya dawa tu au haujui
Hakuna nchi IPO salama kabisa,ila inategemea kwy hiyo nchi unaishi wapiIla kenya siyo salama sana jamani!😳
Huyu mama hana Bashite weweSio ajabu huyu naye ana kabashite.
Hata ningekua Mimi, ningeweza kutamba kwa kuitambua nafasi yangu na mipaka yangu ya kazi kua hakuna wa kunigusa.
Sasa huyu mkuu kakalia ze majunguzzz.
Anamuweka ndani kwasababu ya maneno.
Haki iko wapi sasa?
Kuna wamama wako na stress sana. Kama huyu.
Hawafai kupewa kazi kama hizi...
Bora wawe mayaya tu.
Issue ni kupata akili na si kuacha uzembe au rushwa. Great thinker??!!!Hata ukichukua miaka 10.lakini ukiwa mzembe na mla rushwa hufai
Hawa wakiugua wakatibiwe nje
Hakuna sheria inayofuatwa zaidi ya watu kutaka kuabudiwa mtu anasoma 5years wewe unateuliwa wengine ndo hao hata vyeti wamenunua unasema unamweka ndani hiki kitu kimeniudhi sana yani na madactari yako kimya hata kutoa sauti sijui wameparalize shame kabisa i wish ningekuwa huyo doctor. I like Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ana hekima na anasikiliza kila mtu hana uchama hata kidogo big up sana. Eti nalimweka ndani ili apate akili wakati yeye kateuliwaSheria zetu bado ni za kikoloni japo kuwa tunajidai kuwa huru kwa miaka mingi. Hivi huu ujinga wa watanzania kuwa na nguvu ya kuwaweka watanzania wengine ndani bila makosa ya msingi bali utashi wa watawala hii kitu gani. Bora wakoloni walikuwa wanajihami dhidi ya weusi ambao kimsingi kutokana na kuwatawala kimabavu walikuwa maadui. Sasa watwambie uadui wetu na hawa watawala ni upi mpaka wawe na sheria za kujihami kama hizo za kuweka ndani weusi wenzao. Uhuru wa kweli bado sana.