RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

Vyama vya Wafanyakazi na vya Kitaaluma nchi hii viko weak sana katika kutetea maslahi yao...tatizo ni kila mtu kuwa na matarajio ya kuteuliwa na Rais nafasi za kisiasa...na ndo hapo TLS inapokuwa imekufa na kuoza na sasa Lissu ameamua kwenda kuifufua!
 
Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.

Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Siku hizi akili zinaongezewa jela. sio chuo !!??
 
Sheria zetu bado ni za kikoloni japo kuwa tunajidai kuwa huru kwa miaka mingi. Hivi huu ujinga wa watanzania kuwa na nguvu ya kuwaweka watanzania wengine ndani bila makosa ya msingi bali utashi wa watawala hii kitu gani. Bora wakoloni walikuwa wanajihami dhidi ya weusi ambao kimsingi kutokana na kuwatawala kimabavu walikuwa maadui. Sasa watwambie uadui wetu na hawa watawala ni upi mpaka wawe na sheria za kujihami kama hizo za kuweka ndani weusi wenzao. Uhuru wa kweli bado sana.
Hakuna Sheria za kikoloni swala hapo ni matumizi mabaya au yasiyofaa ya Sheria ZETU.
 
Vyama vya Wafanyakazi na vya Kitaaluma nchi hii viko weak sana katika kutetea maslahi yao...tatizo ni kila mtu kuwa na matarajio ya kuteuliwa na Rais nafasi za kisiasa...na ndo hapo TLS inapokuwa imekufa na kuoza na sasa Lissu ameamua kwenda kuifufua!
Huku nafkir somo wangu steven ulimboka angewafaa sana
 
Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
Fact
 
Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.

Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Anajitetea tu huyo ila alizingua, halaf mbona alietangaza kuhusu zika virus alitumbuliwa, ccm wanataka nini?? Anyway viva ccm viva
 
Ana elimu gani huyo RC?

Au ndio walewale wa ZERO.
Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.

Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
 
Ficha ujinga wako rc.angekuwa hana akili angeshaua wagonjwa wengi sana. Kabla hajafikia nafasi ya dmo tayari ameshapambana sana na wagonjwa hata na changamoto nyingi. Wewe nafasi uliyopewa kwa fadhila au baada ya ....... Unajiona una akili zaidi ya anayetumia taaluma yake. Au unadhani udaktari wake ni wa kumpanulia mtu mi.... aingize.wewe na daud ni wale wale.udaktari siyo maneno ni vitendo. Shame on you

Hawa wanasiasa wanazani udaktari ni porojo.
 
Back
Top Bottom