RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

Bashite mwingine (Rehema) anajua mambo ya afya kuliko msomi wa udaktaru hadi kuwa DMO
Wanatolewa wapi hawa?
 
Hao unaowaongelea wote ni madaktari rehema ni DR na aliyewekwa ndani ni DR , hafu kuna vitu vingine huwa mnatetea ni vya kijinga daktari kasababisha vifo vya watu wawili yeye kaweka ndani masaa matatu analalama ....na waliokufa watakaa makaburini miaka mingapi....? fikiri wewe
...RC ni daktari wa falsafa (Phd)...ni mwalimu toka msingi,chuo cha ualimu hadi UDSM.
...alichokifanya kimenishangaza mno kwa kuzingatia kabla ya kuhamishwa Njombe alipewa tiba ya kutosha hospitali baada ya kuumia vibaya...hivyo yaani hata sielewi nini kilimtokea hadi humfanyia hivyo Daktari wa binaadam.
 
Daktari hana akili??hivi huwa haugui huyu mkuu?madaktari mmekaa kimya tuu!!nyie wakuu acheni kuchezea taaluma za wenzenu.
KWA HIYO KWA AKILI ZA rc ANAONA MAHABUSU ZINAFANANA NA CHUO CHA UDAKTARI? HAYA NDO MADHARA YA VYEO VYA KUTEULIWA MAANA DAKTARI ANAWEZA KUWA MKUU WA MKOA ILA MKUU WA MKOA HAWEZI KUWA DAKTARI. RC HOVYO KABISA.
 
Shule ni shule tu, kama huna shule kwa kazi za taaluma, wee ni bure tu, na hapa unatuimbisha kwaya tu! Nyie wenyewe mmediriki kusema RC hahitaji cheti chochote kuteuliwa, ndiyo maana tunashuhudia maamuzi ya ajabu ajabu!
Hao hawana wanalosimamia Mkuu ni wa kuwasamehe bure, maana upepo ukitaka elimu upande wao watatetea elimu kwa nguvu, upepo ukitaka vilaza kwa upande wao watatetea vilaza mpaka jua linazama.
 
Sheria imefafanua vizuri na ipo hata wakati wa serikali za awamu zilizotangulia na mambo hayakuwa hivi, tatizo lingine ni JPM kuteua watendaji wake na kuwaingiza kazini bila semina elekezi alizozifuta ili kubana matumizi.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Nakubaliana nawe kwa hilo. Safari hii mambo ni tofauti kwa sababu wanaotumia madaraka vibaya hawasikii la yeyote isipokuwa Bw Mkubwa!
 
Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.

Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Kimsingi ni utumiaji mbaya wa madaraka, uonevu, na kuingiza ukanjanja kwenye sheria husika. Madhumuni ya kumpa RC au DC nguvu hiyo kisheria ya kumweka mtu kizuizini, si kwa ajili ya kuadhibu! Mwenye jukunu la kuadhibu ni Mahakama pekee!
 
...RC ni daktari wa falsafa (Phd)...ni mwalimu toka msingi,chuo cha ualimu hadi UDSM.
...alichokifanya kimenishangaza mno kwa kuzingatia kabla ya kuhamishwa Njombe alipewa tiba ya kutosha hospitali baada ya kuumia vibaya...hivyo yaani hata sielewi nini kilimtokea hadi humfanyia hivyo Daktari wa binaadam.
Binadamu wana sahau!

Ova
 
Shule ni shule tu, kama huna shule kwa kazi za taaluma, wee ni bure tu, na hapa unatuimbisha kwaya tu! Nyie wenyewe mmediriki kusema RC hahitaji cheti chochote kuteuliwa, ndiyo maana tunashuhudia maamuzi ya ajabu ajabu!
hujaongea nkitu zaidi ya mipasho
 
Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.

Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Siku zote unapokuta mwanamke anaongoza hata idara basi ujue mara nyingi hapo hakuna amani. Hii inatokana na mindset na effects za mfumo dume kwenye jamii. Mama anapoongoza anakuwa anajua kabisa atadharauliwa kwa ajili ya jinsia yake so atajihami kwa kuongoza kwa mabavu na ku-inflict hofu kwa subjects wake (hata kama ni kiongozi mbovu) ili aogopwe na kutiiwa na ndio maana tawala za kina mama mara nyingi hazifanikiwi.
Mama ungekuwa na akili ungebaki chuoni kusaidiana na vijana kubuni mikakati ya kulikwamua taifa toka hapa lilipo. Una vyeti tu.
 
Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.

Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Uzuzu tu na kutafuta sympathy cheap
 
Mama Nchimbi yupo poa sana huyo mama alikuwa mwalimu wangu[\color]
 
Sio ajabu huyu naye ana kabashite.

Hata ningekua Mimi, ningeweza kutamba kwa kuitambua nafasi yangu na mipaka yangu ya kazi kua hakuna wa kunigusa.

Sasa huyu mkuu kakalia ze majunguzzz.
Anamuweka ndani kwasababu ya maneno.
Haki iko wapi sasa?

Kuna wamama wako na stress sana. Kama huyu.
Hawafai kupewa kazi kama hizi...
Bora wawe mayaya tu.
 
Back
Top Bottom