marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,634
- 3,660
Ameenda kumsaka mange
Uwiiiiiiii.
Na Mange hajapost kitu muda sasa. .....
Ameenda kumsaka mange
nami nilikuwa nashangaa tena picha yenyewe imefanyiwa shopping in advance, sare sare mauaAnaonekana kwenye mitandao akiwa Marekani. Nimeshangazwa sana na tabia yake ya immaturity. Hivi Mkuu wa mkoa (by virtue of that position) unatuma picha facebook kuwaonyesha watu uko ughaibuni? That is 13th century style and thinking....
wala sifahamu kama yuko USA mkuukwani mh mkuu wa mkoa kwao ni USA?
unafahamu utaratibu mzima wa likizo ? au bola kuandika tuKwani likizo Maana yake lazima uende kijijini kwenu?Ukiwa na likizo ndo fursa ya kutembea popote unapopenda duniani ndo Maana unaona wazungu wengi wanapopata likizo huja Africa hususan Tanzania kuona mambo mbali mbali ambayo kwao hakuna....pia ona wacheza soka kipindi cha likizo wanavyojazana huko Ibiza lakini sio kwao huko
bola=boraunafahamu utaratibu mzima wa likizo ? au bola kuandika tu
Kama nimeelewa vile!!
Siamini kama haya ni ya kweli! Kama ni kweli basi sitashangaa kupigwa kibao mzee wetu pale Ubungo plaza!Amepewa refers kwa ma bingwa kupandikiza watoto US maana mwaka 8 sasa bila bila! Usione anaropoka ana stress za mtoto! Anaona noma kwa familia yake na wakweze
Mh, mayai, kwani kageuka kuku!?Yuko kwenye matibabu ya mayai mkuu
Siamini kama haya ni ya kweli! Kama ni kweli basi sitashangaa kupigwa kibao mzee wetu pale Ubungo plaza!
Na je, ni kweli yuko US au ni maneno ya kibongo bongo.
Mh, mayai, kwani kageuka kuku!?
mange alimtibua kuwa ana mayai viza kikikiyes kaenda US kwenye matibabu maalum ya mayai.
mange alimtibua kuwa ana mayai viza kikiki
Aisee, sijasikia tangazo la kutaka kuombewa lakini kwa vile ni mtu wa imani itabidi kumuombea. Haya mambo yasikie tu!mayai hayana kiini yameenda kurutubishwa kwa sindano maalum.
Aisee, sijasikia tangazo la kutaka kuombewa lakini kwa vile ni mtu wa imani itabidi kumuombea aisee!
Hivi huyo jamaa na mke wake watu wa kabila gani?View attachment 455584 huyo hapo Boston,hela ya siku moja hapo unasomesha shule nzima ya msingi kwenu huko Busega
KweliKaenda kupandikiza mimba kwenye tumbo la uzazi la mkewe .