RC Makonda yupo wapi?

RC Makonda yupo wapi?

Nenda nyumbani kwake kama unashida naye atakupa msaada unaotaka wengine wala hatuoni jipya kuwepo au kutokuwepo kwake ccm ni ileile tu.
Mimi mwenyewe sikujua kama hayupo
ila nadhani kaenda kupandikizana mbegu yule maana mbegu zake hafifu ( hazina nguvu)
 
Nenda facebook mtafute utaona ma pics ya US! Pamoja na nyimbo za dini wanaimba..........JF uongo mwiko! Huo ukweli mtupu!! Mwaka 6 sasa!! Wanajaza vyoo tu wote 2!
Siamini kama haya ni ya kweli! Kama ni kweli basi sitashangaa kupigwa kibao mzee wetu pale Ubungo plaza!
Na je, ni kweli yuko US au ni maneno ya kibongo bongo.
 
Habari wanajamvi.....

Wapi alipo kijana mwenzetu,Kijan machachari,kijana anayejitumaaaa na kuhakikisha wananchi wake anaowangoza(wananchi wa jiji kubwa,jiji la Dar es salaam) kupata haki zao bila kunyanyaswa na mtu yeyote bila kujali cheo cha mtu,udogo wala ukubwa

Wananchi wa Dar es salaam wamefurahia sana uwepo wa huyu Kijana hasa wale wa hali ya chini,ambao walikuwa wanasanyanyaswa kwa hali waliyonayo na Mkuu wa Mkoa(Paulo Makonda) alihakikishaaa kuwa wote waliodhulumiwa wanapata haki zao
...

Kijana huyu alikuwa amsha amsha,jiji la Dar es salaaam linahitaji kijana Kama hyu Kijana Machachari.....

Sasa naona siku hizi amekuwa kimya sana kulikoni???Au tayri kashaweka sawa matatizo ya wananchi wake?? hasa wale waliodhulumiwa ardhi zao maan Ardhi ni uti wa mgongo..

Wapi alipo huyu kijanaaaaa...Tunamhitaji aendelee kuweka hili jiji sawa.
 
Back
Top Bottom