RC Makonda yupo wapi?

RC Makonda yupo wapi?

IMG_1483797235.857173.jpg
huyo hapo Boston,hela ya siku moja hapo unasomesha shule nzima ya msingi kwenu huko Busega
 
Usifanye mchezo na ufisadi.
Wewe uliwahi kumsikia hata mzee vijisenti kwenda likizo Marekani Canada kwa mwezi mzima?
Sasa hivi tunatishwa tusi seme kumbe watu wana piga ma deal tu.
Kuwa mkuu wa mkoa mwaka tu tayari kujichana na 1st class....
GSM foundation wameshaweka foundationn kwake...wana piga ma deal mawaziri kanyaga bao.
Amepiga deal na Tanzania ciggarets kupiga marufuku Shisha..amemtisha mpaka kamanda siro...katika mikwara ya kutisha ili wasiguswe.
Upigaji marufuku shisha ni rushwa kubwa kutoka sigara...
Atarudi hapa kukamata watu wasio fagia jumamosi ..kutucheza shere
 
Sasa ya pesa yanakuhusu nini nae anafanya kazi?

Mtu yoyote akioanga anafuka huko alipoenda na mkewe, ni kuingiza pesa na kuamua.
Cha kujiuliza kabla ya kuwa mkuu wa mkoa amewahi kusafiri huko canada na Us ?
 
Sasa ya pesa yanakuhusu nini nae anafanya kazi?

Mtu yoyote akioanga anafuka huko alipoenda na mkewe, ni kuingiza pesa na kuamua.

Wewe ni mfia chama,mchumia tumbo hujali watu waliobunjiwa Majohe,Mbezi mwisho,wanaolala nje huko Kagera ila tumbo,okay,nakuheshimu na kwa taaluma yangu naomba nisijibizane na wewe!
 
Wewe ni mfia chama,mchumia tumbo hujali watu waliobunjiwa Majohe,Mbezi mwisho,wanaolala nje huko Kagera ila tumbo,okay,nakuheshimu na kwa taaluma yangu naomba nisijibizane na wewe!

Eeeeh

Kituko cha mwaka hiki, kwa hiyo hasiende likizo kisa?

Wewe leo umesaidia maskini wangapi au hata watoto yatima kuwaa misaada?

Acha hasira fanya yako, chuki hazikusaidiii.

Ana kazi anapata pesa, ukitaka kamfunge hasipate pesa ufurahie wewe.

Maisha ya wengine, kichwa kinakuuma wewe.
 
Sehemu zingine kama unawahi kazini na unakuwa wa mwisho kutoka kila siku na na likizo hutaki kwenda "TAKUKURU" wanakuchunguza maana hizo ni dalili za corruption.
... Ni kweli, some years back kulikuwa na mkurugenzi mmoja in one ministry alikuwa na mtindo wa kutoka kazini very late, yaani sometimes mpaka saa nne usiku. Sasa katibu mkuu aluyekuwepo huyo director alikuwa amemuweka mfukoni kwa rushwa. Mungu si Athumani akaja KM mpya, yaani ndani ya wiki moja yule mkurugenzi akachunguzwa na kubainika kwamba ni ufisadi mtupu uliokuwa unaendelea. Pia zaidi ya miaka 5 alikuwa hajaenda likizo, akihofia madhambi yake kuanikwa. Aliishia kupigwa chini.
 
Back
Top Bottom