RC Makonda yupo wapi?

RC Makonda yupo wapi?

Magufuli kamkatisha tamaa mwenzetu. Makonda kasafisha jiji lake vizuri, kafagia uchafu wote katoa, halaf jamaa ndio kaja sasa karudisha takataka sehemu zote ambazo alishafagia.

Magufuli noma, na simu zile walizokua wanapigiana zikakoma kabisa, maskini Makonda ndoto zako zote hazikutimia tena.
 
Mbona alikuwa anampigia simu na kumpongeza hadharani huku Makonda aliweka loud ili na wananchi wasikie kuliko tena?
Na baada ya kupongezana,unajua kafanyiwa nini?machinga hadi kwenye barabara ya mwendokasi. Makonda aliwatoa wamachinga kasafisha mji kila kona na kupanda miti, sasa jamaa alipokuja ndo kamkatisha tamaa kabisa na hata simu kushnei kabisa.
 
Kila anaposimama mtakatifu makonda ikiwemo pale new York na Mungu yupo.
Ccm wamelewa sn madaraka mpaka kichefuchefu...
 
(Labda) Yupo nje anashughulikia uzazi..

Toka afunge ndoa Miaka 6 sasa hajapata mtoto.

Aliwahi wakati fulani kuhangaika na suala hili France hakufanikiwa sasa (pengine) ameliendea US.

Ila kwa wakazi wa Dar wamefurahi sana maana MATAMKO ya kijinga yamepungua.
 
Alivyoanza kupinga mambo ya "gays and lesbians" nilijua tu marekani watamuita,akirudi atakuwa kabadili mawazo.
 
Back
Top Bottom