Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
Hahahaha kwani dr mwaka alishindwa kazi?????
dr mwaka alimchokonoa shemeji mpaka akachoka, mwisho wa siku akagundua tatizo liko kwa jamaa.
Hahahaha kwani dr mwaka alishindwa kazi?????
Wanabodi,
Tangu ziara ya kuzunguka Mkoa wa DSM iliyofanywa na RC wetu sijapata kumsikia tena. Je ni mapumziko ya mwaka mpya au kipi kinaendelea. Mwenye taarifa atujuze!
Mnyongwe anyongwe haki yake .....Yupo,kumbe huwa mnammisi enhe!?
Dah... Kumbe "wametulia" kama twins hiviView attachment 455584 huyo hapo Boston,hela ya siku moja hapo unasomesha shule nzima ya msingi kwenu huko Busega

Wanabodi, huyu jamaa mtu wake wa karibu amenitonya kuwa hana uhusiano mzuri na suti nyeusi wa Kijitonyama toka (1) amshauri JPM kumzika Sitta Dodoma eti makaburi ya viongozi wa kitaifa yawe Idodomya (2) Ugomvi wake na Sirro ulifika mbali pabaya (3) Kulalamika mbele ya PM (4) uhusiano wake na GSM mkulu amegundua umejaa hila za rushwa. (5) Amekuwa ni blackmail akichukua maneno ya siri kutoka kwa mkulu na kuwapelekea Mzee wa Rondo na kijana wa Bumbuli. Mambo haya kwa pamoja imekasirisha mamlaka za uteuzi na hivyo kulazimishwa kwenda likizo kujitafakari upya sasa nini kitafuata hatujui. Lakini pia hili la kukosa nguvu za kijogoo limekuwa likimfanya aropoke na kuharibu. Nadhani tumuombee.
Alionyesha Utovu wa adabu kwa Waziri Mkuu, Magu kamstukia akamwambia awe anawajibika kwa Mawaziri wa Tamisemi. Kuonea kwake watu kulileta picha mbaya sana PM akampiga stop.
Mengi yatasemwa ila ukweli anaujuwa mwenyewe.
Yuko kwenye matibabu ya mayai mkuuAnazurura Marekani!
gsmanalipiwa na nani hiyo safari ? au amelimbikiza kibubu mpaka kimejaa